Delacruzito
Member
- Aug 5, 2019
- 99
- 92
Asalam alleykum wana JF,
Naomba kujua ni kweli kuna hii kitu mara naona sijui kupata hela online kwa kutumia bundle lako tu, mara sijui kupata vocha bure online
Mara sijui kupata 5GB za Internet, I have been seen many of this sasa sijui kama kuna ukweli ndani yake.
Nimeleta humu kwa 'Wakulungwa' naombeni mnipe majibu jamani na kama kuna ambacho kipo cha kweli kati ya kimoja wapo hapo basi ni vizuri tukaambizana waungwana