Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,421
- 40,411
Ki vipi mkuu?yanatuchosha tu
ha ha ha vipi mkuu yanakuchakaza au unayafaidi?
Zamani tulikuwa tunayaona kwa mbali...sasa tuko fieldHata hatuyaelewi telenovelas ΕΊilikua zinatudanganya
Zamani tulikuwa tunayaona kwa mbali...sasa tuko field
Acha bhana!!field zenyewe matatizo tu
Inategemea na mpenz mweyweTulipokuwa wadogo tulikuwa tunaambiwa,'kijana soma kwanza mapenzi yapo tu, muda ukifika utayachezea mpaka utayakimbia/utayakinai'. Kwa sasa tumeshakuwa wakubwa.
Je, haya mapenzi tunayafaidi kama tulivyokuwa tukiyatamani tukiwa bado watoto au yanatuchakaza?
Kumbe na ww unakuaga na mawazo kama yanguUkitaka mapenzi yawe matamu,fanya hv uwe na Nyumba yako na mke aishi Nyumba yake,afu sometimes mnapotezana kama wik nzima,baadae ndo mnapanga kukutana mtakuwa mnagegedana vzur na pendo litakuwa tamu sana
Ulipotelea wapi ndugu...nilikumissMbona fresh tuπππ
Hii inasaidia sana,mkikutana mnaonekana wapyaUkitaka mapenzi yawe matamu,fanya hv uwe na Nyumba yako na mke aishi Nyumba yake,afu sometimes mnapotezana kama wik nzima,baadae ndo mnapanga kukutana mtakuwa mnagegedana vzur na pendo litakuwa tamu sana
Mapenzi hayapo ivoUkitaka mapenzi yawe matamu,fanya hv uwe na Nyumba yako na mke aishi Nyumba yake,afu sometimes mnapotezana kama wik nzima,baadae ndo mnapanga kukutana mtakuwa mnagegedana vzur na pendo litakuwa tamu sana