Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,464
- 7,080
Mwalimu kashasha hadi huku upo πHii sura naijua ya dada mmoja hivi wa Manyara nimepoteana nae kama mwaka hivi. Hakuwa anasoma itakuwa picha yake imetumika na mtu mwingine wa hiyo fake account
Sina huruma hiyo mkuu kuacept tu request yake tayari analia shidaUmetuma?
Kweli aisee huenda kawatumia watu 50 hao 30 wakitoa ooh anakula biaππNa kuna watu wanajaa kwenye mfumo wanapigwa
Kwanini wasukumaπππNdivyo wanavyofanya wanaiba picha za pisi kali ili kuwazuzua wasukuma
Sio bia ni biere za kutosha πKweli aisee huenda kawatumia watu 50 hao 30 wakitoa ooh anakula biaππ
Ndio wanapenda wadada weupeKwanini wasukumaπππ
ππNgoja wajeNdio wanapenda wadada weupe
Dada mbona sikujui, na ulivyopangilia mashairi vizuri sasaMwalimu kashasha hadi huku upo π
Na huyo mwanamke profile unamjua π
Tena umegumiana nae manyaraπ
Mimi nikajua
upo st Petersburg kumbe upo manyaraπ
We kibokooπ
Wasela hao chungaUnakuta mdada anapost reels au status za fesibuku kavideo akikata mauno afu post inafanya anaandika kuwa ana shida na elfu 10 mwenye nayo amtumie.
Hawa wanauza? Maana biashara matangazo
View attachment 2582541
I'd fake zinakudanganya wengine baba zako wa kufikia humu,, usinijue we unamjua nani humu jukwaani na anakujua nani zaidi ya kukutana tu humu kwenye nyuzi,,Dada mbona sikujui, na ulivyopangilia mashairi vizuri sasa
Tunawacheki tu kwa mbali!ππNgoja waje
Mimi sihusiki πππTunawacheki tu kwa mbali!
Hapo mwisho ngoja wapaoneNdivyo wanavyofanya wanaiba picha za pisi kali ili kuwazuzua wasukuma