mzunguafrika
New Member
- Mar 12, 2022
- 1
- 7
Sasa hayo maelezo yanathibitishaje kuwa aliyeyaandika ni Ke?Unakuta mdada anapost reels au status za fesibuku kavideo akikata mauno afu post inafanya anaandika kuwa ana shida na elfu 10 mwenye nayo amtumie. Hawa wanauza? Maana biashara matangazo
View attachment 2582541
si uwaulize, kwani ni ngum.....au unawaza nini labda??Unakuta mdada anapost reels au status za fesibuku kavideo akikata mauno afu post inafanya anaandika kuwa ana shida na elfu 10 mwenye nayo amtumie. Hawa wanauza? Maana biashara matangazo
View attachment 2582541
Unakuta mdada anapost reels au status za fesibuku kavideo akikata mauno afu post inafanya anaandika kuwa ana shida na elfu 10 mwenye nayo amtumie. Hawa wanauza? Maana biashara matangazo
View attachment 2582541
Huyu ni mwanaume mkuu
Inawezekana kabisaHuyu ni mwanaume mkuu
Kuna mtu anapigwa hapa sasa hv...
Apo anaomba buku mbili kwa watu 100, wakijaa wapumbavu 30 tayari ana helaKuna mtu anapigwa hapa sasa hv...
😂😂😂Elfu 2 au nimesoma vibaya
Hujasoma vibaya ndio biashara mtandao😂😂😂Elfu 2 au nimesoma vibaya
Dah aiseeHujasoma vibaya ndio biashara mtandao
Habari za Facebook unatuletea huku kweli? Kwanini usiulize huko huko?Unakuta mdada anapost reels au status za fesibuku kavideo akikata mauno afu post inafanya anaandika kuwa ana shida na elfu 10 mwenye nayo amtumie. Hawa wanauza? Maana biashara matangazo
View attachment 2582541
Hii sura naijua ya dada mmoja hivi wa Manyara nimepoteana nae kama mwaka hivi. Hakuwa anasoma itakuwa picha yake imetumika na mtu mwingine wa hiyo fake account
Ndivyo wanavyofanya wanaiba picha za pisi kali ili kuwazuzua wasukumaHii sura naijua ya dada mmoja hivi wa Manyara nimepoteana nae kama mwaka hivi. Hakuwa anasoma itakuwa picha yake imetumika na mtu mwingine wa hiyo fake account
Na kuna watu wanajaa kwenye mfumo wanapigwaDah aisee