Je hawa waandaaji wa Hollywood wametulipa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hawa waandaaji wa Hollywood wametulipa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtu chake, Nov 1, 2011.

 1. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 1,264
  Trophy Points: 280
  Natazama movie ya Transfomers..Dark of The moon...naona wametumia Location ya mbuga ya serengeti...na Pia Mt kilimanjaro

  Je...Wizara/ Idara husika wamelipwa?....
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Walilipwa akina jk.
   
 3. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 1,264
  Trophy Points: 280
  Inawezekana
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,357
  Likes Received: 22,221
  Trophy Points: 280
  Ongea na Riz 1
   
 5. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 1,264
  Trophy Points: 280
  ...

  Nitaongea naye...maana ni majirani
   
 6. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hivi nani kakwambia tz tunahitaji kulipwa? acha tu wageni waje sisi tunaenda kuwashangalia wakifanya vitu vyao tena tunafurahi kweli then haoooo. bado taasisi husika inafurahi kutembelewa na wagani eti wao ndo watakuwa mabalozi wazuri huko waendako. hii ndo tz burner.
   
 7. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,336
  Trophy Points: 280
  Hata wakilipa, hiyo pesa wewe utaipata.?
   
 8. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 1,264
  Trophy Points: 280
  • Umemaliza mkuu
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Subiri Movie nyingine inakuja na picha zitaanzia pale Magogoni [​IMG]hapa ndipo issue ilikua inapangwa!
   
 10. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Labda malipo yameenda kulipia ile jingle (nadhani 5 seconds) ya CNN inasema "Hii Ni CNN" huku wakionyesha mlima Kilimanjaro na jina TANZANIA.

  Tulizeni mzuka ndo "faida" za Rais kupasua anga!! lol
   
 11. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mbona ni movie nyingi tu..ata ile lion king ya disney ulimlima ambo king simba upo serengeti katika upande wa kushoto kama unatokea Arusha.
   
Loading...