Ni aibu kwa vijana wetu wa vyuo vikuu. Hata ujumbe wao hauna mashiko kabisa.
Sasa nape atawasaidia nini??
Hilo kofia la nape ni zuri sana kuzuia jua, najua kwanini analivaa!!ukisoma kwa makini hayo mabango yameandikwa na mtu mmoja.
Then kama ni maandamano ya kumpongeza JK na CCM yake mbona waandamanaji hao wamekua na sura za unyonge kama vile hawapendi hili jambo wanalolifanya????
njaa balaa...hata yule renatus mkinga aliyekuwa anawacheka wanafunzi/vijana wa udom kuwa sasa wanasoma kwenye giza totoro(kipindi cha mgao wa umeme) baada kuichagua ccm naye sasa amekuwa vuvuzela la ccm kama hawa misukule tunaowaona...!Njaa haimpendezi mtu