Je Hawa ni wabarikiwa wa Jamii Forums?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
250
Nimejiunga na jamii forums tangu mwezi wa tisa,
lakini kuna kitu nimejifunza hapa jamvini.
Kuna watu thread zao hata kama sio za moto zitaopewa thanks kibao, hadi utashangaa.
Nyani Ngabo, Mwanakijiji, First Lady .......
watu wa aina hiyo.
Je wao ni malaika wa hapa Jamii Forums?
 
it isn't a big deal, try your best you will have many thanks note!
 
Simple...wanaandika vitu vyenye akili!

Na kama wewe ni mgeni ujue kwamba sometimes THANKS maana yake ni NOTED, sio lazima imaanishe kushukuru parse!

Ugeni ni Ishu!
 


hivi hilo jina bado limo kweli?....ni ngabu!..
jF ina mambo, sasa wewe ukiona sio ya moto may b wengine wanaona ni za moto.
 
hahahahah ehehehe Gosh sijui kwa nini labda wewe unisaidie kama umeona hilo
FL1 Natokea Mbeya vijijini kabisa hata kijijini kwetu wanakijiji wananipa thanks labda nyota yangu inang'aa kama mchanga wa baharini ..

ila usiseme kama unakasirika kwa hilo😉ni vijimambo tu
2010 niko kikazi zaidi 😉
karibu JF
 
i like this! Go girl, kama vp aite police.
 
Nimeshakupa 'Thanks' ya kwanza hiyo. Karibu jamvini!
 
ndugu uliyeleta hii thread,

kanui za sosholojia zinatuambia kuwa kila palipo na kundi kubwa la watu rasmi, kama JF, ndani yake kuna vikundi vidogovidogo visivyo rasmi, kama hilo la wapwaaaaz. vikundi hivi huibuka tu bila kufuata kanuni yoyote, na hizo, yaani hutokea kwa bahati nasibu na kushamiri pia kwa nasibu. hivyo hata hizo thanks hutolewa kulingana na nafasi ya muhusika ndani ya kikundi kisicho rasmi na mara chache huzingatia uzito wa hoja. z

aidi ni kama alivyosema paka jimy kuwa wakati mwingine sio thanks pe se, bali just noted
 
Na mm nimekuongezea Thanks,
Thanks ni kushukuru kwa jambo lolote lile fikiria mtu anatumia muda wake kuandika huna budi kumshukuru kwa alicho andika iwe point au pumba hi hiari yako wewe kumshukuru.
 
Sumbalawinyo
Junior Member
Join Date: Tue Sep 2009
Posts: 4
Thanks: 1
Thanked 3 Times in 1 Post
 
Mkuu Sumbalawinyo, Nakushauri hii ni sehemu ya kuleta constructive ideas zenye evidence na zilizofanyiwa utafiti, kama utaleta post za uhakika hapa nakuambia na ugeni wako jamvini humu THANKS zitamwagika kama njugu, lkn ukianza kwa kulaumu namna hiyo, sidhani km tutafika mbali mkuu
 
Sumbalawinyo
Junior Member
Join Date: Tue Sep 2009
Posts: 4
Thanks: 1
Thanked 3 Times in 1 Post
Sasa ndugu yangu kumbe hii ni post yako ya nne! Anyway, ngoja nikugongee senksi kuongezea ziwe nne.
 

Bado tu?
 

mwaka wa uchaguzi huu, kura zinatafutwa kwa njia yoyote ile!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…