King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,330
- 88,488
Yeah ni hatari sana ,ukija bila gadi wanakunyoosha.Hayo si ndio yanaua mpaka wamiliki hayanifai
Yeah ni hatari sana ,ukija bila gadi wanakunyoosha.Hayo si ndio yanaua mpaka wamiliki hayanifai
Kwenye ulinzi Rottweiler ni unyama sana, niliwahi kumfuga, kelele kidogo matendo kwa wingi.Ukiwa mfugaji wa mbwa kibiashara utaelewa kwanini wafugaji hawaentertain aina nyingine za mbwa zaidi ya German Shepherd, Rottweiler, Boer Boel (and) Maltese (pia) kwa uchache Belgian Malinois na Doberman Pinscher.
BTW iko hivyo kwa sababu, an intelligent seller keep what the market demand.
Wanaamini ukifanya hivyo mbwa anakua .kaliWatanzania wengi wafuga mbwa huwa ni wapuuzi sana, unakuta Mbwa anafungiwa bandani siku mzima au yuko na mnyororo/kamba shingoni anafungiwa mahali kila siku mchana wote halafu anafunguliwa usiku tu.
Asante kwa maelezo yako, Labrador ndio best choice kwa family hasa yenye watoto🐺 German Shepherd
- Serious, alert, protective
- Excellent security dog
- Bonds deeply with one owner
- Needs firm training & mental work
- Best for: security, police work, experienced owners
🐕 Labrador
- Happy, playful, social butterfly
- Excellent family dog
- Loves kids, visitors, other pets
- Easier for first-time dog owners
- Best for: families, companionship, therapy
Choose German Shepherd if:
✔ You want a guard dog
✔ You have time for training
✔ You want loyalty + protection
✔ You’re an experienced dog owner
Choose Labrador if:
✔ You want a friendly family dog
✔ You have children
✔ You want low aggression
✔ You want an easygoing temperament
Haya si ndio yalimuua Mzee Kingunge?Kwenye ulinzi Rottweiler ni unyama sana, niliwahi kumfuga, kelele kidogo matendo kwa wingi.
View attachment 3534056
Tangu kingunge alivyodedishwa sina hamu hata na hayo madudeKwenye ulinzi Rottweiler ni unyama sana, niliwahi kumfuga, kelele kidogo matendo kwa wingi.
View attachment 3534056