Je? Hata huko kwenu kuna mgao?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je? Hata huko kwenu kuna mgao??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by DCONSCIOUS, Aug 24, 2011.

 1. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu swala la mgao wa umeme limeleta matabaka makumbwa mawili kati ya wanao athirika na wasio athirika ,Hii inatokana na selikali kutangaza kuwa mgao utapungua au kuisha kabisa , chakushangaza ni kwamba badhi ya maeneo ya nchi hii hasa mikoa ya pembezoni mgao umekuwa mkali zaidi tofauti na sehemu zingine wana tushangaa ,tutukana na kutukejeri tuki lalamika kwamba mgao unaendelea huku kwetu vijijini.

  Hii ni hatari kwa Taifa, swali ni je huko kwenu ni kama kwetu?.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Huku kwetu jana na leo hatuna umeme.
   
 3. B

  Bwana bonny Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tegeta tangu j3 umeme unawaka kati ya saa 5 usiku na saa 2 asubuhi
   
Loading...