Je, Hapa ungefanya nini?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Fikiria kuwa wewe una miaka kama mitatu hivi ndani ya ndoa. Ulianza kuwa na mkeo/mmeo kama GF/BF (japo kwa dhamira ya kuja kuwa mke na mume) kwa takribani miezi sita kabla ya kuona. Kwa muda wote huu mlikuwa mkipendana, na hujawahi kupata hisia zilizokupa ushahidi kuwa mwenzio anakula nje. Lakini pamoja na mapishano ya hapa na pale, mliweza kuishi kwa amani kabisa na upendo wa hali ya juu. Lakini siku moja (huku akiomba msamaha, na kuapa kuwa ukweli ndio huo, na kamwe haitatokea tena) akakujulisha kuwa katikati ya kipindi mlipokuwa GF na BF, alipata kukusaliti mara moja tu, na akakutajia mtu ambaye kwa kipindi chote hadi sasa unamfahamu na huishi mahali ambapo yupo accessible kwa mwenzio iwapo wamepania kuendeleza. Ukichukulia kuwa kwa kipindi kama mwaka mmoja sasa alishawahi kukuambia kuwa huyo mtu aliwahi kumtaka, lakini akampiga chini...! Je, ukitafakari ungehisi ukweli ni upi; ni siku moja kweli, au ni affair ya siku kadhaa? Itakuwa ni huyo tu, au huenda wapo na wengine? Kwa siku za mbeleni, utamwamini mwenzio kama mwanzo?
 
Labda ufahamu kitu kimoja hata kama alimeguliwa kwa siku moja au kwa dakika moja bado ni kosa kubwa sana ila suala la msamaha lina umuhimu wake. Ila ukumbuke kuchukua tahadhari kuombwa msamaha haina maana kuwa wataacha, na niafadhali aliyemegwa mara mia kuliko aliyemegwa mara moja!
 
Hahahaaa...that's a deal breaker for me coz I will never have a peace of mind. I will probably be paranoid as hell. Therefore I think there won't be any kind of relationship btn me and her. It's as simple as that.
 
Hamna cha afadhali kosa ni kosa tu
 
Hahahaaa...that's a deal breaker for me coz I will never have a peace of mind. I will probably be paranoid as hell. Therefore I think there won't be any kind of relationship btn me and her. It's as simple as that.
Ukweli kabisa NN
 
end of business.. kama alikuchunia hilo akakuambia baada ya kitendo... wadhani utakuwa ushafichwa vingapi vikubwa zaidi?! mwishowe utalea mtoto si wako ukaombwa msahama.. kuwa alizaa nje ya ndoa MARA MOJA TU..!:glasses-nerdy:
 
Hahahaaa...that's a deal breaker for me coz I will never have a peace of mind. I will probably be paranoid as hell. Therefore I think there won't be any kind of relationship btn me and her. It's as simple as that.

Tayari una mtoto naye, umempima DNA (ukiwa mwanaume) na ukakuta kweli mtoto ni wako. Ulipompa msimamo kama huu alitishia kujiua....! Je, uko tayari kumpa mtihani wa kujiua? Au utamripoti kwenye vyombo vya sheria?
 
Haijalishi kama nimezaa naye mtoto au la. Kanuni ni kwamba mimi hali hiyo siwezi kuivumilia wala kuikubali. Kwa hiyo mimi na yeye ni kwishnehi.

Mtoto atalelewa kwa mapenzi yote. Hilo wala halina mjadala.

Her suicidal ideation(s) won't hold me hostage in a relationship that I'm not happy with. So if she wants to go kill herself then that's her business. I can't help it.
 
Labda ufahamu kitu kimoja hata kama alimeguliwa kwa siku moja au kwa dakika moja bado ni kosa kubwa sana ila suala la msamaha lina umuhimu wake. Ila ukumbuke kuchukua tahadhari kuombwa msamaha haina maana kuwa wataacha, na niafadhali aliyemegwa mara mia kuliko aliyemegwa mara moja!

Kuna uafadhali gani kumegwa mara mia kuliko mara moja? Swala la msamaha lina umuhimu gani?
 
Haijalishi kama nimezaa naye mtoto au la. Kanuni ni kwamba mimi hali hiyo siwezi kuivumilia wala kuikubali. Kwa hiyo mimi na yeye ni kwishnehi.

Mtoto atalelewa kwa mapenzi yote. Hilo wala halina mjadala.

Her suicidal ideation(s) won't hold me hostage in a relationship that I'm not happy with. So if she wants to go kill herself then that's her business. I can't help it.

Ever you experienced a situation like this? If so, how did you see after responding as such, and all things happened this way?
 
I have never experienced such a situation, however, I pride myself in being an upstanding man of principles i.e. I live by certain principles and codes in many of the facets of life.

In a romantic relationship, trust is a big deal for me. And once it is breached, things will never ever be the same again. So it's better to go splitsville.
 
oooh!man of principal ,NN! Whats an increadible guy!! what if kama hiyo habari yote ya kungonoka na jamaa kama hukuipata na bado ukamwoa huyo binti?
 
Kwanza kuniambia itakuwa kanidharau na kesi kubwa utaanzia hapo... Kwa nini aniambie kama yalishapita?
 
oooh!man of principal ,NN! Whats an increadible guy!! what if kama hiyo habari yote ya kungonoka na jamaa kama hukuipata na bado ukamwoa huyo binti?

That's why I am not married and I will never get married coz I don't trust no one....not even myself!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom