Siku simu imepotea kulikuwa na vitu vinginevyo kwenye bag lake,hivyo alilirepot Kituo Cha police kupata loss report,then akamjulisha yule Dada juu ya kilichotokea.Ndugu yako amepoteza simu na kuripoti polisi tukio hilo, na kupewa RB (hapa pa RB fafanua kidogo).
Huyu mdai anasema alimpa simu dada, ila kesi amefungua anamdai nduguyo, kivipi?? Si amdai aliyempa
Hataki kulipwa,huyu mlalamikaji ni askari lakini alimweka dogo ndani bahati nzuri tuliweza kumtoa kwa msaada wa Viongozi wake ( RCO+ RPC) na wao pia walipendekeza alipwe yule dada na amkabidhi mwenye simu,ila kaipeleka kesi mahakamani kimya kimya na kusudi lake hatuelewiAmlipe simu yake mambo yamesha kua mengi na kama hana uwezo, ww ndugu yake msaidie kama mdai alivyo saidiwa kwa upande wake! Simu kitu gani! Nayo mpaka uombe ishauri!!? Ingekua ni hiyo yako imepotea kwenye mazingira hayo ungekubali!?
Huyo mshamba! Ndio bwana ake na huyo dada! Mshamba huyu! Mijitu kama hiyo anapo haribu nawewe unamuharibia! Tafuta details na wewe muweke hadharani! Ila kwa minajili hiyo kutakua na tatizo lingine linalo mpelekea huyo jamaa kufanya hivyo hiyo simu ni gear tu aliyopataHataki kulipwa,huyu mlalamikaji ni askari lakini alimweka dogo ndani bahati nzuri tuliweza kumtoa kwa msaada wa Viongozi wake ( RCO+ RPC) na wao pia walipendekeza alipwe yule dada na amkabidhi mwenye simu,ila kaipeleka kesi mahakamani kimya kimya na kusudi lake hatuelewi
Sikiliza, jamaa kampa simu demu, demu kampa hiyo simu mdogo wako, simu ikapotea mikononi mwa nduguyo. Jamaa aliyempa simu demu, hawezi kumshtaki nduguyo kwa wizi, labda amshtaki kwa kosa la kununua mali ya wizi. Wizi maana yake ni kuchukua kitu kisicho chako kutoka mahali fulani na kukifanya chako.Siku simu imepotea kulikuwa na vitu vinginevyo kwenye bag lake,hivyo alilirepot Kituo Cha police kupata loss report,then akamjulisha yule Dada juu ya kilichotokea.
Kashtakiwa yeye kwa wizi na yule jamaa aliye mpa simu yake yule Dada. Kesi haijaanza kusikilizwa ila tuna hofu
Tumetoka mahakamani mida hii, tumeweka mwanasheria lakini inaonekana tumetibua mipango yao,maana Hakimu kaahilisha kesi bila sababu,kuna alafu ya mipango ovu ilikuwa imepangwa/ imepangwa.Sikiliza, jamaa kampa simu demu, demu kampa hiyo simu mdogo wako, simu ikapotea mikononi mwa nduguyo. Jamaa aliyempa simu demu, hawezi kumshtaki nduguyo kwa wizi, labda amshtaki kwa kosa la kununua mali ya wizi. Wizi maana yake ni kuchukua kitu kisicho chako kutoka mahali fulani na kukifanya chako. Sasa mdogo wako hajachukuw simu kwa jamaa, hivyo jamaa hawezi mshtaki kwa wizi. Mkianza kusikiliza kesi mhojini simu iliibiwaje
Kama mna wakili basi atawaongoza ipasavyo.Tumetoka mahakamani mida hii, tumeweka mwanasheria lakini inaonekana tumetibua mipango yao,maana Hakimu kaahilisha kesi bila sababu,kuna alafu ya mipango ovu ilikuwa imepangwa/ imepangwa.
Maana yake mchepuko alikuwa na mchepuko.Tumetoka mahakamani mida hii, tumeweka mwanasheria lakini inaonekana tumetibua mipango yao,maana Hakimu kaahilisha kesi bila sababu,kuna alafu ya mipango ovu ilikuwa imepangwa/ imepangwa.
Story ya upande mmoja haimake sense kutolea uahauri wa kina.Nina ndungu yangu kashtakiwa mahakama ya mwanzo; kesi iko hivi.
Huyu ndugu alipelekewa simu ( smart phone) na rafiki yake wa kike amsaidie kuaply kazi za Tamisem badae sensa, amekaa na Ile simu Miezi 3, mara nyingine akawa anairusha kwa mwenye simu na ikitokea kazi sehemu anapelekewa tena.
Bahati mbaya ikapotea mikononi mwa ndugu yangu, akarepot police na Rb akapewa, then akaongea na yule dada namna ya kumfidia simu yake wakaelewana.
Sasa amejitokeza jamaa anayedai Ile simu ni yake,na alimpa yule Dada, yule jamaa kafungua kesi kumshtaki ndugu yangu, na yule dada aliyempelekea simu ndugu yuko Huru na atasimama kama shahidi wa mdai.
Je, ndugu yangu kisheria anakesi? Ushahidi wa mawasiliano baina yake na mdada kuhusu makubaliano ya kulipana upo.
Tushauriane
Huyu askari hawezi kukubali kunisikiliza, kwa sababu siku amemweka ndani huyu ndugu niliitumia nguvu ya Viongozi wake mkoa kumtoa,nikijua kaonewa,pia Viongozi wake walishauri tukae chini jinsi ya kumlipa yule Dada ili amkabidhi simu yake askari,na kesi kaipeleka mahakamani bila idhini ya kiongozi wake yoyote,wala hawajuiStory ya upande mmoja haimake sense kutolea uahauri wa kina.
Kaa nao wote wawili uwasikilize utapata cha kuwashauri
Nenda TAKUKURU maana huo ni utapeli unaofanywa na polisi.Huyu askari hawezi kukubali kunisikiliza, kwa sababu siku amemweka ndani huyu ndugu niliitumia nguvu ya Viongozi wake mkoa kumtoa,nikijua kaonewa,pia Viongozi wake walishauri tukae chini jinsi ya kumlipa yule Dada ili amkabidhi simu yake askari,na kesi kaipeleka mahakamani bila idhini ya kiongozi wake yoyote,wala hawajui
Mpelelezi yupo ila ni Kituo kimoja,na hata mpelelezi alikuwa anashinikizwa tu, kesi ilivyopelekwa mahakamani na mlalamikaji kumwondoa mchepuko wake kwenye kesi na kuwa Shahidi wake, Hakimu alimwambia mashtaka yaandaliwe upya na mpelelezi,Huyo Askari kapeleka Kesi Mahakamani kwani yeye ndie Mpelelezi wa Kesi?? haiwezekani Mlalamikaji awe huyohuyo Mpelelezi wa Kesi