Hakuna kitu chochote ambacho ktk nchi ambacho si biashara ya walio madarakani, kwa hakika hapo ufisadi upo ktk hili, ukifikiri kwa makini utaona kuwa cash ndio inayoitajika, ijapokua wanakubali kuwa watarejesha fedha za manunuzi kwa kupunguza ktk tozo la kodi.
Hii ni kwa kuwa wenye % zao wachukue mapema, Serikali inakopa kwa mfanyabisha kwenye vitendea kazi vya kukusanyia kodi, mbona hawakukopa ndege mbovu, wala kununua rada kwa bei halisi kwa mkopo? Unaweza kuona serikali inawabana wafanyabiashara wa ndani na sio wa nje.