Qualbalasad
Senior Member
- Jul 14, 2011
- 131
- 41
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu utoaji wa mashine ya stakabadhi/risiti kutoka TRA, Hii ikiwa ni mashine zilizoagizwa kutumika ili kukusanya kodi kwa njia bora zaidi, kwangu mimi nifikiri kuwa machine hizi zingeagizwa na kugaramikiwa na TRA kama nyenzo ya idara hii ya ukusanyaji wa kodi.
Inaonekana kuwa TRA imepanga wakala wa kuingiza mshine hizo, na kuuzwa kwa wafabishara wenye viwango vya VAT, Je huyu wakala ni nani na amepata je tenda hiyo? Je hapa hakuna 40% ya mtu wa serekalini? kwa kuwa mashine hizi hununuliwa kwa fedha taslimu, na hurudishwa katika mapato ya kodi. Je hii si ulaji wa kodi kupitia njia hii?
Nomba kuwakilisha