Je, hakuna traffic au ndo nini?


MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
Ama kweli nimeamini sio Tz tu mpaka nchi za nje wanavunja sheria bila woga.
Hebu cheki hii.


View attachment 71448

Na hapo ndo wanaenda zao MATANUZI, hebu fikiria itakuaje huku njiani?????
 
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,954
Points
1,500
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,954 1,500
Angalizo: Traffic maana yake ni foleni (hasa ya vyombo vya usafiri).
 
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
7,903
Points
2,000
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
7,903 2,000
hapo kuna mmoja lazima adindishe
 
K

kigoda

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
1,782
Points
1,195
K

kigoda

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
1,782 1,195
Hiyo ni kama daladala hapo kuna wengine 6 kashusha njiani.
 
Mkubwa ndevu

Mkubwa ndevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
784
Points
225
Age
31
Mkubwa ndevu

Mkubwa ndevu

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
784 225
wachina masaburi yao madunchu ndio wameenea ingekuwa wabantu cjui
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
hapo kuna mmoja lazima adindishe
Hakuna kudi...sha coz wameshaoa si unajua nchi za wenzetu wanafanya hivyo ili waendelee kuzalisha maproffesional wa baadae.
 
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,958
Points
2,000
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,958 2,000
Dereva hapo ni yupi??
 

Forum statistics

Threads 1,296,630
Members 498,713
Posts 31,254,203
Top