Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,106
- 34,926
Je atafunga kweli?
Je atafunga kweli?
Ushabiki ukipitiliza...!Mkuu, goli lipo. kuna sehemu mbili ambazo Messi anaweza kufunga.
1. Atapiga nduki ya nguvu chinichini, kama zile za Roberto Carlos, ili ipite tobo kwa golikipa.
2. Ataipiga kwa namna ya ku-upindisha (curve) ili uingie katika pembe ya juu mkono wa kulia, litakuwa kama lile goli Ronaldhino alilowafunga waingereza (Siemens akishangaa tu) kwenye fainali za Kombe la Dunia.
Kwa alivyo huyo mchezaji mzee anafunga.Je atafunga kweli?