Je, Ethiopia inataka kumega eneo la nchi gani?

elitrea. lilikuwa jimbo lake tangu awali.
Kuna Treaty ilikubalika kati ya Aferwerki na Meles Zenawi wakati wanamkabili Haile Mengistu Mariam kuwa immediately baada ya vita Eritrea itajimega kutoka Ethiopia. Sioni namna ya kuwashawishi Eritreans kurudi Ethiopia
 
Haile Selasie au Haile meningistu naona kama ni wawili tofauti

Kuna Haile Sellasie
Meningstu Haile Mariam
 
Back
Top Bottom