Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,088
- 2,705
Kauli ya kutaka kupata bandari Ethiopia limekua likirudiwa rudiwa na PM wa Ethiopia Abi Ahmed na inaonekana yupo determined kuchukua Eneo moja wapo kati ya nchi zinazopakana na bahari kama Somalia, Eritrea, Djibouti.
Je, nini kinaendelea? Eneo gani lipo katika target, anataka aanzishe vita nyingine au anataka kuannex eneo la jiran? au anunue
NB: What do you think?
Je, nini kinaendelea? Eneo gani lipo katika target, anataka aanzishe vita nyingine au anataka kuannex eneo la jiran? au anunue
NB: What do you think?