Sema ni vile sio mahala pake, wacha tuache thread iendane na title kwanzaHauna msaada kivile zaidi ya mateso ya maagano
misiba yetu ya MO 29 ilionekana halali tu. Tena vijana wadogo wengine walipaswa kufanya mitihani ya form four na two! Leo hii zee la miaka mia huko kizimkazi limepumzika zake limekula maisha hadi limechoka lenyewe, eti tuumie tuseme tuna msiba? Hapo mtanisamehe kabisa.😂😂😂 Inaonekana una hasira sana mkuu,
Tulipofikia saiv hata ukisema taifa letu utaulizwa "Taifa lenu na nani?" 😂
Mitandaoni fake news ni nyingi. Yule Maza sio wa kukabidhi madaraka. Japo kapata sababu ya kuhamia tunguu mazimaNani kaiandika na kwanini
Wampe EDA hata ya miaka minne.Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais?
Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo aliyekaimishwa kama naye hayupo basi atakaimu wa chini yake? Hii ya kuwakaimisha watu wawili kwa wakati mmoja inaelekezwa na matakwa ya kifungu gani cha katiba?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 8 Septemba 2026; Saa 5:40 jioni.
Waione mawakili: Helen Kijo-Bisimba, Boniface Anyisile Mwabukusi, Ado Shaibu, Paul Kisabo, Addo November Mwasongwe, Hilda Stuart, nkView attachment 3665939
sioni tatizoMkuu ww unawezaje kuwa pande zote, siasa upo, vyakula, afya, sayansi, usikute hadi mambo ya uchawi unayajua 😂
Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais?
Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo aliyekaimishwa kama naye hayupo basi atakaimu wa chini yake? Hii ya kuwakaimisha watu wawili kwa wakati mmoja inaelekezwa na matakwa ya kifungu gani cha katiba?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 8 Septemba 2026; Saa 5:40 jioni.
Waione mawakili: Helen Kijo-Bisimba, Boniface Anyisile Mwabukusi, Ado Shaibu, Paul Kisabo, Addo November Mwasongwe, Hilda Stuart, nkView attachment 3665939
07 September 2026Makamo ndo katangaza hivyo
07 September 2026
Mke Kukaa Eda Ya Kufiwa Na Mumewe
Mwanamke mwenye kufiwa na mume kama hana mimba eda yake ni miezi minne (4) na siku kumi (10), na kama mwenye mimba eda yake mpaka azae, lakini iki wa amezaa kabla ya kupita miezi minne na siku kumi lazima akae eda hadi zipite, siku hizo.
Mwanamke mwenye eda ya kufiwa na mumewe, ni haramu kuvaa nguo za rangi; kujipamba kwa namna yo yote kwa mwili au kwa nguo kama kujitia manukato, kutia wanja machoni, mapodari, hina na kila jambo la kujipamba ni haramu kwake hata nguo nyeusi ikiwa ina nakshi au mkato wa kujipamba.
Eda huanzia siku ya kufa kwa mume ikiwa yupo hapo, na kama hayupo huanzia siku atakapopata habari hata kama kumepita muda mrefu sana. Katika muda huo wa eda hawezi kuposwa au kuolewa.
Uislamu unaamrisha unadhifu, basi wanaruhusiwa wanawake wenye eda kuoga kujisafisha na kuweka mwili safi, kukata kucha.
Anaruhusiwa kutoka nje kama ipo haja kama kununua mahitaji yake au kumwangalia jamaa au mgonjwa na kadhalika, asitoke nje paisipo na haja.
Tunaomba kwa Mola wetu atupe sote Twafiki ya kufuata maamrisho ya dini na kuepukana na yaliyoharamishwa au kufuata mambo ya Bida'a uzushi, usiona msingi.
View attachment 3665113
Siku 90 nyingi Sana, golden chance never come twice.Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais?
Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo aliyekaimishwa kama naye hayupo basi atakaimu wa chini yake? Hii ya kuwakaimisha watu wawili kwa wakati mmoja inaelekezwa na matakwa ya kifungu gani cha katiba?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 8 Septemba 2026; Saa 5:40 jioni.
Waione mawakili: Helen Kijo-Bisimba, Boniface Anyisile Mwabukusi, Ado Shaibu, Paul Kisabo, Addo November Mwasongwe, Hilda Stuart, nkView attachment 3665939
Sahihi! Kwa mujibu wa sheria, ruhusa ya kufiwa na mwenza, mtoto au mzazi ni siku 14. Hakuna cha siku 90!Wala sio u turn, hiyo barua ni fake.
Kisheria mfanyakazi kufiwa na mwenza, mtoto au mzazi ruhusa ni siku 14 then unarudi kazini kuijenga nchi. Yaliyopita yamepita.Siku 90 nyingi Sana, golden chance never come twice.
Hapa tunazungumzia Sharia. Kweli eda ni kwa jobless siyo mtumishi wa serikali.Kisheria mfanyakazi kufiwa na mwenza, mtoto au mzazi ruhusa ni siku 14 then unarudi kazini kuijenga nchi. Yaliyopita yamepita.
- Makamu wa Rais: Ndiye anayefuata kwanza kukaimu au kutekeleza majukumu ya Rais endapo Rais hayupo katika Jamhuri ya Muungano au ni mgonjwa.