Je, Dunia ipo chini ya maji??

Je, Dunia ipo chini ya maji??

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,549
Reaction score
48,873
Nimesoma kitabu Cha Mwanzo (Genesis) na kwa Tafsiri yake naona kama vile tunaishi chini ya maji.

Mwanzo 1 :6-10, inasema;

"Then God said, let there be a firmament in the midst of the waters , and let it divide the waters from the waters. Thus God made the firmament and divided the waters which were under the firmament from the waters which were above the firmament, and it was so. And God called the firmament Heaven. So evening and morning were the second day. Then God said, let the waters under the heavens be gathered together into one place and let the dry land appear, and it was so. And God called the dry land Earth and the gathering together of the waters ha called seas. And God saw that it was good".

Kutokana na neno hilo hapo juu, utaona kwamba mbingu imetenga maji yaliyo juu na chini, hivyo baada ya hilo mbingu tunayoiona huko juu kuna maji.

Sayansi inasema nini kuhusiana na hili??

Karibuni kwa mjadala.
 
umesoma mwanzo 1:6-10 iloandikwa kwa kingereza
 
Hapo zamani inasadikika kuwa Dunia ilikuwa Pangea.. Yani mabara yote yalikuwa yameungana.
Lakini pia, kutokana na kuasi kwa shetani na malaika wengine waovu walitupwa huku Duniani.. Wakafanya uovu mwingi sana.... Basi Mungu akaamua kuleta baridi kali sana ikaigandisha Dunia.
Hii inaitwa ice age.. Ni katika kipindi hiki viumbe waliokuwepo nyakati hizo hawa Dinosaurs walitoweka kutokana na baridi hiyo.
Baadaye Mungu akaamua kuiunda Dunia upya kwa kuigawanya katika mabara na bahari na kuigawanya Dunia katika mchana na usiku pamoja na kumuumba binadamu na viumbe wengine unaowaona sasa!
 
Hapo zamani inasadikika kuwa Dunia ilikuwa Pangea.. Yani mabara yote yalikuwa yameungana.
Lakini pia, kutokana na kuasi kwa shetani na malaika wengine waovu walitupwa huku Duniani.. Wakafanya uovu mwingi sana.... Basi Mungu akaamua kuleta baridi kali sana ikaigandisha Dunia.
Hii inaitwa ice age.. Ni katika kipindi hiki viumbe waliokuwepo nyakati hizo hawa Dinosaurs walitoweka kutokana na baridi hiyo.
Baadaye Mungu akaamua kuiunda Funia upya kwa kuigawanya katika mabara na bahari na kuigawanya Dunia katika mchana na usiku pamoja na kumuumba binadamu na viumbe wengine unaowaona sasa!
Vipi mkuu kuhusiana na hilo la kutenga maji kwa mbingu ??

Inamaana juu ya mbingu kuna maji?? Au tafsiri ya hiyo mistari ni nini??
 
Ofcourse Dunia ipo chini ya maji.. Mawingu ni maji na ndio maana tunapata mvua pale mawingu yanapoyeyuka (dew point).
Mkuu ujue sometime hata elimu dunia inasaidia kiasi frani kujua ulimwengu unaendaje, usibase na mambo ya dini sana.
 
Nimesoma kitabu Cha Mwanzo (Genesis) na kwa Tafsiri yake naona kama vile tunaishi chini ya maji.

Mwanzo 1 :6-10, inasema;

"Then God said, let there be a firmament in the midst of the waters , and let it divide the waters from the waters. Thus God made the firmament and divided the waters which were under the firmament from the waters which were above the firmament, and it was so. And God called the firmament Heaven. So evening and morning were the second day. Then God said, let the waters under the heavens be gathered together into one place and let the dry land appear, and it was so. And God called the dry land Earth and the gathering together of the waters ha called seas. And God saw that it was good".

Kutokana na neno hilo hapo juu, utaona kwamba mbingu imetenga maji yaliyo juu na chini, hivyo baada ya hilo mbingu tunayoiona huko juu kuna maji.

Sayansi inasema nini kuhusiana na hili??

Karibuni kwa mjadala.
Ni sawa maji yapo pia juu ya dunia na katika dunia pia, ila yapo katika hali ya mvuke (mawingu) au hata hali ya kimiminika (mvua) na hujikusanya baharini, maziwani, n.k. Ukweli hapa linazozungumziwa ni mzunguko wa maji (hydrology cycle) ambapo maji yanazunguka kutoka ardhini kwenda angani na kurudi tena, ndio kusema dunia imezungukwa na maji yaliyopo kwenye mzunguko wakati wote na pande zote ikiwa ni pamoja na juu na chini.
 
Mkuu sijui umesoma hapo ukaelewa kwamba mbingu ndiyo imetenga maji , yaani maji yaliyopo chini ndio hayo hayo yaliyopo juu.

Meaning kuna maji huko juu kama haya unayoyaona kwenye bahari.
 
Ndio hayo niliyosema yapo maji juu na yapo katika hali ya mvuke/mawingu na hali ya kimiminika pia (mvua). Tendo la kunyesha mvua linamaanisha kuna maji huko juu lakini pia yapo chini ardhini. Hivyo Biblia ipo sawa katika maelezo yake kwamba kuna maji juu na pia chini na sisi tupo katikati.
 
Mkuu, sikupingi ila naomba ufafanue kuhusu mvua, maana mie najua mvua hutokana na mzunguko wa maji yatokayo chini kwenda juu.
 
Ndio hayo niliyosema yapo maji juu na yapo katika hali ya mvuke/mawingu na hali ya kimiminika pia (mvua). Tendo la kunyesha mvua linamaanisha kuna maji huko juu lakini pia yapo chini ardhini. Hivyo Biblia ipo sawa katika maelezo yake kwamba kuna maji juu na pia chini na sisi tupo katikati.
Nachopinga kwenye hiyo kauli yako ni kuwa maji yaliyopo juu yapo katika mfumo wa mvuke, kwa tafsiri ya bible haiko hivyo.

Bible inasema maji haijazungumzia mfumo wa maji kama unavyoweka wewe.

Ukiendana na tafsiri hiyo utaona kuwa mfumo wa maji yaliyopo juu ya mbingu na chini ya mbingu ni ule ule.
 
Mkuu, maji ni kimiminika hivyo huganda na huweza kuwa kama mvuke pia kutokana na hali ya hewa huko juu.
 
Nachopinga kwenye hiyo kauli yako ni kuwa maji yaliyopo juu yapo katika mfumo wa mvuke, kwa tafsiri ya bible haiko hivyo.

Bible inasema maji haijazungumzia mfumo wa maji kama unavyoweka wewe.

Ukiendana na tafsiri hiyo utaona kuwa mfumo wa maji yaliyopo juu ya mbingu na chini ya mbingu ni ule ule.
Mimi sioni tatizo, kama umesoma physics; maji yanaweza kuwa katika hali tatu: kimiminika, mvuke na yabisi. Je mvuke ni maji au si maji? Jibu lake ni ndio ni maji. Ndio ni "mfumo' ule ule au kwa usahihi zaidi ni maji yale yale.
 
Tatizo lipo kwakua Biblia haijasema maji yaliyopo juu yapo katika mfumo wa mvuke.

Maji yaliyopo hapa chini yanashikika na yanaonekana.

Hivyo kwakua kilichofanyika ni kuyatenga tu basi ni hakika yake kwamba maji haya tunayoyaona hapa ndio yale yale yaliyopo juu ya mbingu.
 
Ulimwengu.png
 
Back
Top Bottom