Je DR Jakaya na wenzake watanyang'anywa "Phd" zao??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je DR Jakaya na wenzake watanyang'anywa "Phd" zao???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kaburunye, Aug 6, 2010.

 1. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wadau, kwa taarifa za TCU viongozi wengi wametunukiwa PhD feki. Je ile aliyotunukiwa rais wetu JK ni miongoni mwa PhD zilizochakachuliwa? Kama ni hivyo je mkulu atanyang'anywa hiyo "hadhi"? Hii si itakuwa hatari? Kwa wale ambao hawakupata muda wa kupitia magazeti, mnaweza kusoma habari hapa chini.

  Viongozi wanatunukiwa PhD feki za heshima-TCU

  [​IMG]Friday, 06 August 2010 05:14
  Mwandishi Wetu
  TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesema shahada mbalimbali za uzamivu za heshima wanazotunukiwa viongozi wengi barani Afrika ikiwamo Tanzania ni batili.
  Viongozi wengi waliodaiwa kutunukiwa shahada hizo batili ni watu maarufu kama vile marais, mawaziri, wabunge na viongozi wengine.

  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Katibu Mtendaji wa TCU, Profesa Mayunga Nkunya katika gazeti moja, ilisema kuwa taasisi yake imeshtushwa na ongezeko na nyendo za taasisi na vyuo vikuu visivyotambuliwa nchini na hata duniani.
  Alisema vyuo hivyo ambavyo vimepewa jina la utani "Viwanda vya kutengeneza Digrii au stashahada" vinawadanganya Watanzania kwa kuwatunukuu digrii za uzamivu kama ishara ya heshima katika jamii.
  "Katika miaka ya hivi karibuni TCU imebaini ongezeko la tuzo za digrii za uzamivu za heshima yaani, honorary Doctorates (honoris causa) zikitolewa kwa watu wenye haiba na wadhifa mkubwa katika maeneo mengi ya Afrika.
  "Hali hii pia inaongezeka kujitokeza kwa kasi nchini, hali hii haishangazi kuona kwamba katika kipindi cha muongo mmoja uliopita hadi sasa watu maarufu wakitunukiwa digrii za aina hii kutoka katika taasisi ambazo kutambuliwa kwake kunatia shaka siyo Tanzania pekee bali hata katika nchi zilizomo taasisi hizo," alisema.
  Bw. Nkunya ametaadharisha umma kuwa makini ili kuepusha wasitapeliwe zaidi na taasisi ambazo ni viwanda vya kutengenezea digrii, ambazo nia yao kubwa ni kujipatia fedha au umaarufu kwa nia zisizo halali.
  Alisema licha ya taasisi hizo kutunuku shahada bandia za heshima pia zimewatapeli watu wengi wa Tanzania kwa kuwapa shahada, shahada za uzamili na hata za uzamivu bila ya wahusika kufanya kazi yoyote ya kitaaluma inayolingana na matakwa ya kutunukiwa shahada hizo.
  "Baadhi ya taasisi hizo zinazotoa digrii hizo zimefika mbali zaidi kwa kudai kuwa eti wanafanya hivyo kwa ajili ya kutoa heshima kwa Bara la Afrika kwa kuwa Waafrika walioleta mafanikio hawaheshimiwi na kuleta mafanikio na kuenziwa ipasavyo ndani ya nchi zao," alisema.
  Alisema kwa sababu hiyo pengo hilo lizibwa kwa kupewa tunzo ya shahada ya uzamivu za heshima kwa watu hao kwa walengwa hasa watu maarufu na viongozi, ikiwa ni pamoja na marais, mawaziri na wabunge
  XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

  -Kwa walio na taarifa tupeni orodha ya waheshimiwa wenye PhD feki.
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Wacha wanyang`anywe,kwani walizisotea po pote? Je baada ya kubandikwa hizo Phd wao walibadilika kuwa sawa na hadhi ya hizo shahada,na je wakinyang`anywa zitawabadirisha cho chote?
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wa JF tuliazimia wiki iliyopita kubadili user name zetu ili zianzie na Dr. imeeishial wapi? Dr. Malariasugu, Dr Malila, Dr Kaburunye, Dr Mfunyukuzi, Dr FirstLady1 etc
   
 4. m

  mkenda1000 Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  6th August 2010

  [​IMG]
  B-pepe  [​IMG]
  Chapa  [​IMG]
  Maoni
  [​IMG]
  Dk Wilbroad Slaa.  Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Dar es Salaam, wamejifungia jijini hapa wakipanga mkakati wa mapokezi ya mgombea urais wao, Dk Wilbroad Slaa.
  Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Chadema zilieleza kuwa vikao kwa ajili ya maandalizi hayo vilifanyika katika nyakati tofauti, ili kufanikisha mapokezi hayo atakapowasili jijini hapa kesho.
  Kuwasili kwa Dk Slaa jijini Dar es Salaam kunafuatia ziara ndefu aliyoifanya kwenye mikoa ya kanda zote nchini, akitafuta kudhaminiwa ili ashiriki kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu.
  Tayari Dk Slaa ameshafanya mikutano ya hadhara na kuomba kudhaminiwa katika mikoa ya kanda ya kaskazini, ziwa Victoria, Magharibi, Kati, Nyanda za Juu Kusini na Kusini.
  Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Dk Slaa kuwasili jijini Dar es Salaam tangu achukue fomu ya kuomba kugombea urais kupitia Chadema.
  Hafla ya kuchukua fomu hiyo ilifanyika katika jimbo la Karatu mkoani Arusha ambalo amekuwa mbunge wake kwa miaka 15 mfululizo.
  CHANZO: NIPASHE

  0 Maoni | Kuwa wa kwanza kutoa maoni

 5. m

  mkenda1000 Member

  #5

 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Jina langu linaanzia hivi Mheshimiwa,Mchungaji,Mfanyabiashara,Dr Mfianchi diwani wa Kinyerezi full stop.elimu yangu ya ukweli bila kuchakachachuliwa ni std VII) ila nina digrii nimepata kwa iliyokuwa Urusi ya Zamani.teh teh, TZ shamba la bibi
   
 7. m

  mkenda1000 Member

  #7
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KURA YA MAONI

  Mgombea yupi utampa kura yako ya Urais 2010?
  Jakaya Kikwete

  7%
  Willbrod Slaa

  88%
  Ibrahim Lipumba

  4%
  Mutamwega Mugahywa

  0%
  Hashim Rungwe

  1%
  Paul Kyara

  0%
  Christopher Mtikila

  1%
  Peter Kuga Mziray

  0%
  Total votes: 339

 8. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Dr N-Handsome, ushauri wako ni mzuri. Shida itakuwa kwa wananchi kutuita ma-dr. Si unajua wanaangalia wewe ni nani. Ukiwa hohehahe hata kama una PhD ya ukweli bado jamii inakutilia mashaka tu. Labda tuwa ma-dr wa humu jamvini tu.

  Ni mimi Dr Kaburunye
   
 9. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  I beg to differ: Wanyang'anywe kwani wanazo?!!!! wazuiwe kutumia title ya Dr. isivyo halali. kama wanavyofanywa wanaokamatwa na noti bandia na hawa wanastahili hivyo hivyo na kuzidi.
   
 10. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ukisoma Kitabu Cha Jamaa Mmoja anaeitwa kainerugaba utapata orodha ndefu ya watu wenye digrii na Phd fake
   
 11. P

  Pax JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nafikiri inatakiwa kuwe na agreeable and uncontested criteria ambazo mtu akizifikia basi atunukiwe hiyo heshima, iwe kweli ni equivalent na mtu aliyesota kupata PhD, otherwise mimi nachukulia hii ni kudhalilisha elimu na sio vinginevyo. Ni sawa na watoto wa chekechea wa baadhi ya shule wanapovaa majoho yanayovaliwa na wahitimu wa vyuo vikuu, ni udhalilishaji wa elimu.
   
 12. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwa ufupi hawawezi kunyang'angwa kwa kuwa huo ni utaratibu unaofanyika duniani kote. Hoja anayozungumzia Nkunya ni kuwa vyuo hivyo havitambuliwi na TCU. What is TCU? Its power (in Tanzania only). Kwahiyo anataka kusema kuwa vyuo vyote duniani vije kujisajili kwao ili viwe vyuo vikuu? Ana matatizo makubwa sana huyo ndo maana kwa muda mrefu wamebana digrii UD na sasa wamefikia hatua hawana hata wahadhiri. Wamebakia vibabu tu kutokana na tabia na roho zao mbaya. Hofu yake kuwa kukiwa na maDR wengi hadhi yake (yao) itapungua. Kwa ujumla haitakii mema Tanzania katika suala la elimu. Jaribuni kuangalia jinsi TCU inavyo vinyanyasa vyuo vikuu nchini kwa sababu wanataka vyote viendeshwe katiuka misingi ya UDSM lakini leo watoto wengi wa wazalendo hawataki kusoma tena UD na kukimbilia vyuo binafsi ambako huduma bora na kusoma katika mazingira mazuri zaidi
   
Loading...