Dogo alikuwa anafanya kazi kwenye hardware ya faza flani hivi.
Dogo alipiga hela pale dukani akaenda kujenga nyumba ikiwa inekaribia kwenye finishing, raia wakamsanua yule mzee kuwa kijana wako dukani anakupiga hela hadi anakaribia kuhamia kwake.
Yule mzee akaenda kuiona nyumba kimya kimya, akamuita dogo baadae akamwambia niichukue hii nyumba au nikufunge?
Dogo akakubalia kuachia nyumba, mzee akaipiga finishing akaiuza kwa mtu mwengine.
Sheria hapa imekaaje? Dogo ana haki au kadhulumiwa?