Empty containers Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,151
- 3,980
Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Mbona mtu mzima kama wewe unafanya mis reporting , kwenye jibu lake amemtaja aliye kuwa ana mjibu "kama wewe"Waziri kasema haogopi kutumbuliwa kwani kwanza AMECHOKA KUWATUMIKIA wasio na shukrani.
Mteuzi anasubiri nini kwa mtumishi ambaye ameshachoka kuwatumikia watu wasio na shukrani?
Maana wasio na shukrani ni wengi hivyo wanasababisha maumivu kwa wenye shukrani kwa Kigwangwala maana kachoka kuwatumikiaView attachment 1412289
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujidharaurisha. Hakuna mtu aliyepata cheo kwa sababu eti ni muislamu, dini Tz haina nafasi bi dada. Uwe mwerevu. Tunafahamu mnafundishwa kuanzia utoto kumchukia asiye muislamu, mnafundishwa namna ya kumtambua na kumchukia Moses, John etc, ila huo ni ujinga mlipandikizwa ambapo mpaka leo baadhi yenu mmeubeba. Na tunafahamu huo ujinga bado mnaendelea nao na kuna yule naibu waziri kafungua shule dodoma ili apandikize chuki kwa watoto waichukie jamii nyigine. In short wewe ni mjinga na mpumbavu wa kiwango kikubwa sana maana unadhani uislamu ndiyo wenye haki ya kutawala, na ulifurahi sana Zitto (muislamu mwenzio) alipoonesha mama Samia (Muislamu-ingawa yeye siyo mdini ka wewe) anaweza kuwa rais. Bi dada nikupe tu taarifa Tz haina udini maana system"Dini" maana yake nini?
Sio nimewahi bali nina cheo zaidi ya hicho, mwambie ustadhi mwenzio sio kila jambo ni la kujibu public, mengine ajibie kwenye kamati husika huko. Na aache show off za kiduanzi.Umewahi kuwa hata msaidizi wa mjumbe (balozi) wa nyumba kumi?
Tubadili mfumo wetu wa Elimu yaani maneno ya dr hayana tofauti na Mimi niliyesoma memkwa,
Ulishawasikia wakimpayukia Hussein Mwinyi? Hebu jitafakari kama ulioandika sio upuuzihawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo.
Amen.Unajuwa maana ya Uislam?
Kama wewe huna dini utaingilia vipi "udini" wangu? Pilipili uso ila yakuwashiani? Au umesha ila sasa inakuwasha panapo njia ya haja kubwa?
Kama ameshachoka si aombe kujiudhuru, wenzake wenye ari mpya waingie.View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Ccm wamefikia Hatua wanamfananisha Magu na AllahMteuzi ni Allah?
Hii ni serikali ya Allah?
Theocracy regime ilianza lini?
Ccm wamefikia Hatua wanamfananisha Magu na Allah
Bwashee unaelewa maana ya " Kuchoka'?Kwahiyo Mbowe bado hajasema amechoka ndio maana bado ni mwenyekiti Chadema? Basi Sawa! Na kauli ya Meya Boniphace je?