Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,647
- 272,454
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Hapa " msongo wa mawazo" unahusika!View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Hana jipya amejawa kiburi ila muda utamwambia nn hatma yakeView attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
hawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo.Hapa " msongo wa mawazo" unahusika!
Alikuwa anamjibu nani kwa lugha hii isiyo ya kiuongozi na iliyopungukiwa shukrani na adabu kwa mteuzi!
Tatizo yule Bwana wa Ikulu mteuzi huwa anayapenda majitu kama haya. Anaweza asichukue hatua yeyote dhidi ya Kigwanga.
Hahahaaaaa....... Uongozi ni jalala bwashee.hawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo
Anataka apate mda akasimamie biashara zakeView attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
mkuu kweli kabisaHahahaaaaa....... Uongozi ni jalala bwashee.
Ukiona kiongozi anatamka neno " Nimechoka" ujue hapo hamna kiongozi tena!
To be honest, kutumia fedha ambayo haijaidhinishwa na Bunge ni grave financial deviation and misconduct. Kama Bunge halitamchukulia hatua then ile kauli ya Prof Mussa Assad itajidhihiri tena kuwa "Bunge ni Dhaifu"View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Unamaanisha wakimaliza kuangalia picha za pilau na akili zao zinapinduka hivyo hivyo mkuuhawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo

Ukiwa matured aikusumbui,kazi huwa ngumu kama utaamua kupambana na watu kuliko maendeleohawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo
Kuna mtu kaichakachuua kauli ya Kigwa. Mie nimesoma alichoandika Twitter, kuna maneno yamepotoshwa hapa.View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG