Je, dereva wa Dk. Mwigulu Nchemba amehojiwa kuhusiana na ajali ya mheshimiwa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,923
141,889
Nimemsikia waziri mstaafu Nchemba akisema wakati ajali inatokea alikuwa akiongea na simu ndio ghafla wakatokea punda watatu na kishindo kikuu.

Najiuliza tu dereva kahojiwa maana yasije yakajirudia yale ya Tundu Lisu ya kuanza kumtafuta dereva baadae!

Ni hako kaswali tu
Maendeleo hayana vyama!
 
Dereva atakuwa ni mtuhumiwa. Itawezekana vipi dereva alikuwa kwenye gari hilo hilo halafu yeye asipate hata mchubuko mdogo.

Tunamhitaji dereva atueleze kwa nini yeye hajaumia?

Tunamhitaji pia dereva wa Kigwangala kwa sababu hizo hizo ........ Lugolo
 
Ndugu Yohanne Mbatizaji Naona umeanza kupona ka ugonjwa kenu

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Ile ajali ukiangalia kwa umakini dereva alidhamilia amdhuru muheshimiwa,
Haiwezekani dereva atoke salama na kwann upande aliokaa Mwigulu ndio pamedhulika zaidi kuliko upande wake Dereva,
Nashauri jeshi la polisi limuhoji dereva,,lol

Get well soon mbunge wetu
 
Dereva atakuwa ni mtuhumiwa. Itawezekana vipi dereva alikuwa kwenye gari hilo hilo halafu yeye asipate hata mchubuko mdogo.

Tunamhitaji dereva atueleze kwa nini yeye hajaumia?

Tunamhitaji pia dereva wa Kigwangala kwa sababu hizo hizo ........ Lugolo
Kwa Akili za zero kange Lugola anaweza kuyasema hayo maana sasa na yeye kaingia kwenye List ya Majuha ya ccm akishirikiana na wenzake wajinga jinga akina Msukuma, kibajaji na wengineo CCM waliopumgikiwa Akili
 
Nimemsikia waziri mstaafu Nchemba akisema wakati ajali inatokea alikuwa akiongea na simu ndio ghafla wakatokea punda watatu na kishindo kikuu.

Najiuliza tu dereva kahojiwa maana yasije yakajirudia yale ya Tundu Lisu ya kuanza kumtafuta dereva baadae!

Ni hako kaswali tu
Maendeleo hayana vyama!
Tumempeleka Dodoma kwaajili ya matibabu ya kisaikolojia maana ajali ile ilikuwa ya kutisha sana mpaka dereva kashuhudia punda anavyokufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ajali ukiangalia kwa umakini dereva alidhamilia amdhuru muheshimiwa,
Haiwezekani dereva atoke salama na kwann upande aliokaa Mwigulu ndio pamedhulika zaidi kuliko upande wake Dereva,
Nashauri jeshi la polisi limuhoji dereva,,lol

Get well soon mbunge wetu
Madereva wa viongozi wamefundishwa HERI ujeruhiwe wewe lakini Kiongozi apone sasa hawa madereva wa madaktari Kigwangala na Mwigulu sijui walisomea wapi!!!
 
Dereva wa lisu ana bahati kama lisu angekufa huyu dereva asiye na hatia angenyofolewa pumbur zote mbili, angefungwa kifungo cha maisha jela na miaka mingine sita jela... na adhabu kali
 
Kuwa na waziri wa mambo ya ndani kama huyu inaonyesha ni kwa kiasi gani nchi yangu itasubiri kufikia kwenye uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa,uhuru wa vyombo vya habari,uhuru wa katiba kuwa ndio dira ya nchi kufuata;simple thing kutokana na ajali hii ya Mh.Mwigulu jeshi langu la polisi limeshindwa kufanya,kufungua inquest docket ya ajali hii,sasa mambo makubwa zaidi ya hili ndio kabisa hawajui.
 
Dereva atakuwa ni mtuhumiwa. Itawezekana vipi dereva alikuwa kwenye gari hilo hilo halafu yeye asipate hata mchubuko mdogo.

Tunamhitaji dereva atueleze kwa nini yeye hajaumia?

Tunamhitaji pia dereva wa Kigwangala kwa sababu hizo hizo ........ Lugolo
Hapa unamzunguzia dereva wa Mwigulu au dereva wa Lissu?,maana wote walitoka bila michubuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom