Je, Deep Poll kabla haijasajiliwa Wizara ya Ardhi inakubalika?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,039
Naomba kuuliza kwa wanaofahamu. Je kabla deed poll haijasajiliwa wizara ya ardhi je inakubalika kuitumia? Nauliza kwa sababu inabidi niitumie kwenye application ya kazi na kule ardhi wanasema itachjkua siku 7 za kazi ili mchakato wa kuisajili ukamilike. Hapo muda wa applicationutakuwa umepita. Nasubiri jibu toka kwa wanasheria.
 
Wandugu nasubiri!
 
Hiyo kitu inachukua siku Moja, tena masaa. Kama sio mzoefu tafuta mtu akupeleke, utaondoka nayo siku hiyo hiyo!
 
Nasubiri jibu tafadhali kwa wanasheria
Ni online application? wewe itumie tu maana hata ile mihuri ya registrer inagongwa nyuma. Hata kama unatuma hardcopies, toa copy hapo mbele. In case utatoboa kwenda stage ya pili na wanataka waone kama ikuwa registered utakuwa ulishapata copy yako zamani

BTW ukitumia mlango wa nyuma, unaipata siku hiyohiyo. Hizo 7 days wanaweka tu ili wajipe muda wa kusukuma mafile slowly. ni urasimu tu.
 
Kama haijasajiriwa tafsiri yake Bado Haina nguvu kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…