johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,933
- 141,902
Ni habari zinazozungumzwa zungumzwa hapa mjini Dodoma. Inasemekana UVCCM imeoza kwa rushwa hivyo inahitajika injini imara ya kwenda " kuendesha" mchakato wa kuitakasa Jumuiya hiyo.
Mgombea wa Sadifa inasemekana alimhitaji Muro kama Katibu Mkuu wake lakini ndio hivyo tena maji yameshamwagika.
Kila la heri ndugu Kafulila Mungu akaifanye imara mikono yako maana huko UVCCM miti mingi inateleza.
Nawasilisha!