Je, David Kafulila kuwa Katibu Mkuu mpya wa UVCCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,350
2,000
Ni habari zinazozungumzwa zungumzwa hapa mjini Dodoma. Inasemekana UVCCM imeoza kwa rushwa hivyo inahitajika injini imara ya kwenda " kuendesha" mchakato wa kuitakasa Jumuiya hiyo.

Mgombea wa Sadifa inasemekana alimhitaji Muro kama Katibu Mkuu wake lakini ndio hivyo tena maji yameshamwagika.

Kila la heri ndugu Kafulila Mungu akaifanye imara mikono yako maana huko UVCCM miti mingi inateleza.

Nawasilisha!
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,148
2,000
Wallah kwa Magufuli kila goti litapigwa. Mpaka 2025? Sitashangaa familia zikifarakana. Baba akimkana mwana na mjomba akimkana mpwa! Kisa kila mmoja kuhakikisha anapata slice ya mkate!

Tupende tusipende, JPM ametu-expose sisi waTanzania ni watu wa namna gani. Na madhaifu yake yote...JPM atakumbukwa kwenye historia kama Kiongozi aliyeuanika unafiki wa waTanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Possibly, 95% ya WaTanzania ni CCM. Either kwa kutaka au kutotaka.

Lakini swali langu kubwa: Hivi kweli hakuna maisha nje ya siasa????? Haiwezekani mtu akapambana bila kuingia kwenye mkondo wa hizi siasa za maji taka za CCM?

Mpaka "wasomi" akina Msando (kwa mtu kama Wema, Masha, Kafulila, Machali, Mtulia nk huwezi shangaa-these are usual suspects)......Lakini kwa wasomi kama Msando leo wanaimba pambio za CCM kujinusuru na rungu la JPM? wallah sijui kama kuna atakayesalimika.

This is serious aiseee!
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
19,213
2,000
Huyo popo hawezi kuwa katibu mkuu,huyo kesho akiamka Chadema imechukua nchi anahamia Chadema.Kuongonza Sehemu nyeti lazima kuwekwe watu ambao thick or thin wapo CCM,when we win we remain together and when we lose we remain together through thin and thick.CCM sio wajinga kama Chadema kumpokea Lowasa na kumpa ugombea urais on spot.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,350
2,000
Wallah kwa Magufuli kila goti litapigwa. Mpaka 2025? Sitashangaa familia zikifarakana. Baba akimkana mwana na mjomba akimkana mpwa! Kisa kila mmoja kuhakikisha anapata slice ya mkate!

Tupende tusipende, JPM ametufunulia tujue sisi waTanzania ni watu wa namna gani. Na madhaifu yake yote...JPM atakumbukwa kwenye historia kama Kiongozi aliyeuanika unafiki wa waTanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Possibly, 95% ya WaTanzania ni CCM. Either kwa kutaka au kutotaka.

Lakini swali langu kubwa: Hivi kweli hakuna maisha nje ya siasa????? Haiwezekani mtu akapambana bila kuingia kwenye mkondo wa hizi siasa za maji taka za CCM?

Mpaka "wasomi" akina Msando (kwa mtu kama Wema, Masha, Kafulila, Machali, Mtulia nk huwezi shangaa-these are usual suspects)......Lakini kwa wasomi kama Msando leo wanaimba pambio za CCM kujinusuru na rungu la JPM? wallah sijui kama kuna atakayesalimika.

This is serious aiseee!
Wakili Msando ni msomi kuliko wakili Masha?
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,024
2,000
Mwenye kujuwa mtu anayekubalika kuwa kiongozi wa umoja wa vijana anatakiwa asizidi miaka mingapi?
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,350
2,000
Huyo popo hawezi kuwa katibu mkuu,huyo kesho akiamka Chadema imechukua nchi anahamia Chadema.Kuongonza Sehemu nyeti lazima kuwekwe watu ambao thick or thin wapo CCM,when we win we remain together and when we lose we remain together through thin and thick.CCM sio wajinga kama Chadema kumpokea Lowasa na kumpa ugombea urais on spot.
Unadhani Lowassa " alipewa" ugombea uRais?........ Muulize balozi Slaa atakujuza!
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,024
2,000
Huyo popo hawezi kuwa katibu mkuu,huyo kesho akiamka Chadema imechukua nchi anahamia Chadema.Kuongonza Sehemu nyeti lazima kuwekwe watu ambao thick or thin wapo CCM,when we win we remain together and when we lose we remain together through thin and thick.CCM sio wajinga kama Chadema kumpokea Lowasa na kumpa ugombea urais on spot.
Ila suala la Chadema kuchukua nchi karne hii sahau. Kwanza hawana wagombea na Lowassa keshachoka.
 
mechard Rwizile

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
1,563
2,000
Ni habari zinazozungumzwa zungumzwa hapa mjini Dodoma. Inasemekana UVCCM imeoza kwa rushwa hivyo inahitajika injini imara ya kwenda " kuendesha" mchakato wa kuitakasa Jumuiya hiyo. Mgombea wa Sadifa inasemekana alimhitaji Muro kama Katibu Mkuu wake lakini ndio hivyo tena maji yameshamwagika. Kila la heri ndugu Kafulila Mungu akaifanye imara mikono yako maana huko UVCCM miti mingi inateleza. Nawasilisha!
Kama ni kweli, tumuombee wote aupate. CHADEMA tutakuwa salama zaidi kwa maana kuna upumbavu unaofanywa na wanaCCM ataukataa/ hatauunga mkono. Lakini vile vile itapendaza kwa maana kama mtu amelelewa na upinzani tangu mwanzo anapochukuliwa na CCM na kupewa nafasi kubwa kama hiyo, ni dhahiri kuwa maandalizi ya wapinzani ni bora zaidi. Acha tuendelee kuuona mkuno wa Mungu.
 
Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,774
2,000
Huyo popo hawezi kuwa katibu mkuu,huyo kesho akiamka Chadema imechukua nchi anahamia Chadema.Kuongonza Sehemu nyeti lazima kuwekwe watu ambao thick or thin wapo CCM,when we win we remain together and when we lose we remain together through thin and thick.CCM sio wajinga kama Chadema kumpokea Lowasa na kumpa ugombea urais on spot.
Nikukumbushe tu kidogo, Madiwani waliohama kutoka chadema kwenda ccm kule mkoani Arusha ndo waliogombea nafasi hizo pamoja na kwamba kwenye kura za maoni walikuwa wamedondoshwa. Hapo unasemaje na hiyo ni ccm
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,148
2,000
Huyo popo hawezi kuwa katibu mkuu,huyo kesho akiamka Chadema imechukua nchi anahamia Chadema.Kuongonza Sehemu nyeti lazima kuwekwe watu ambao thick or thin wapo CCM,when we win we remain together and when we lose we remain together through thin and thick.CCM sio wajinga kama Chadema kumpokea Lowasa na kumpa ugombea urais on spot.

Spot on! na hata CCM wanajua kabisa hawa waliokatwa mikia wamerudi zizini kwa sababu ya njaa na kulinda maslahi yao. Lakini wasisahau. CCM will forgive but never forget!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,350
2,000
Kama ni kweli, tumuombee wote aupate. CHADEMA tutakuwa salama zaidi kwa maana kuna upumbavu unaofanywa na wanaCCM ataukataa/ hatauunga mkono. Lakini vile vile itapendaza kwa maana kama mtu amelelewa na upinzani tangu mwanzo anapochukuliwa na CCM na kupewa nafasi kubwa kama hiyo, ni dhahiri kuwa maandalizi ya wapinzani ni bora zaidi. Acha tuendelee kuuona mkuno wa Mungu.
Hahahaa.......... mkuu kwani Juliana Shonza alilelewa wapi?
 
Lufulandama

Senior Member
Jun 6, 2017
187
250
Huyo popo hawezi kuwa katibu mkuu,huyo kesho akiamka Chadema imechukua nchi anahamia Chadema.Kuongonza Sehemu nyeti lazima kuwekwe watu ambao thick or thin wapo CCM,when we win we remain together and when we lose we remain together through thin and thick.CCM sio wajinga kama Chadema kumpokea Lowasa na kumpa ugombea urais on spot.
Umeanza vizuri mwisho umejinyea visigino..rubbish
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom