Je crypto inamilikiwa na illuminati?

Je crypto inamilikiwa na illuminati?

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
1,119
Reaction score
1,253
Kuna taarifa nimeiona bbc hasa baada ya kuona nembo ya illuminati imefanana na payment system(WEBMONEY) hebu tulijadili hili wakuu
photostudio_1742141459471.png
,,,,,,, mimi siyo mwandishi mzuri picha zinajieleza angalia hapo
photostudio_1742141555740.png
 
Kitu gani ambacho hawamiliki? Kilichobakia sasa ni ku centralize pesa, ili waweze ku control matumizi ya mtu mmona mmoja. Pesa ikiwa mfukoni kwako hawataweza, inapaswa kuwa digital ili iwe rahisi kudhibiti.
 
duh hatari sana.
 
Ss c waje wawanyanganye CCM madaraka wamiliki na tanzania yetu maana CCM tumewachokaa
 
Kuna taarifa nimeiona bbc hasa baada ya kuona nembo ya illuminati imefanana na payment system(WEBMONEY) hebu tulijadili hili wakuuView attachment 3273022,,,,,,, mimi siyo mwandishi mzuri picha zinajieleza angalia hapoView attachment 3273020
1.Kua wewe baba wa watoto wawili uwavalishe watoto wako tisheti zenye hio nembo,kisha uje useme kua watoto wako wanafanana na iluminati,?
2.Serikali ya CCM itengeneze pesa zenye hio nembo kisha uje useme Pesa zote dunaini,zinafana na illuminati?
3.Toyota watengeneze magari yenye nembo hio kisha tuseme magari yote yanafanana na iluminati?
Hapo MPUMBAVU,atakua ni anayeifananisha na sio hio illuminati yenyewe wala walioweka hio nembo
 
Illuminati na mambo ya kucontrol dunia ni story za kahawa. Kikundi kilichojiita Illuminati(the enlightened) kilishajifia huko Bavaria Ujerumani, miaka 200+ iliyopita, kutokana na migogoro ya ndani ya kiuongozi. Lengo lao lilikuwa kudhibiti kuenea kwa ushawishi wa dini duniani.
 
Haijalishi ni illuminant au vibwengo ila kuna kundi la watu wanachotaka sisi tunafuata bila ya shuruti . Rahisi zaidi walileta mifumo ya pesa na bank kitu ambacho tumefungwa hatuna cha kufanya.

Mifumo ya pesa imeleta mambo kama; mfumuko wa bei ,umaskini ,utegemezi ,mambo ya mikopo.

Yule Adolf Hitler moja ya sababu ya kuwachukia hao jamaa ni mfumo wa pesa ambao uliyumbisha uchumi ya nchi yake .
 
Yale yale ya miaka ya 2000 wakati mitandao ya kujamii inaanza.

Masheikh na Wachungaji uchwara walikuwa sauti zinawakauka wakisema mitandao ya kijamii yote imeletwa na Freemason na ni dhambi kuitumia.

Leo hii mpaka makanisa yamefungua akaunti kwenye mitandao ya kijami.
 
vipi kuhusu nembo mkuu unafikiri ni kwa nini WEBMONEY walitumia nembo ya illuminati?
. Illuminati nayo inasadikika tu, hakuna mwenye uhakika na hilo jambo kama ipo au haipo..

. Bila kushirikisha illuminati, pesa yenyewe tu ni pepo/uchawi/freemason tosha.
 
Kitu gani ambacho hawamiliki? Kilichobakia sasa ni ku centralize pesa, ili waweze ku control matumizi ya mtu mmona mmoja. Pesa ikiwa mfukoni kwako hawataweza, inapaswa kuwa digital ili iwe rahisi kudhibiti.

Kitu gani ambacho hawamiliki? Kilichobakia sasa ni ku centralize pesa, ili waweze ku control matumizi ya mtu mmona mmoja. Pesa ikiwa mfukoni kwako hawataweza, inapaswa kuwa digital ili iwe rahisi kudhibiti.
Hivi ni nani aliyeleta haya mafundisho ya uongo kuwa crypto as a digital currency inatawalika? Someni vizuri katka mfumo wa kipesa hasa hii aina ya digital money iliopo katka Crypto ni ngumu kucontroll maana haina watu kati(middle man) wala mtu wa kufuatilia michakato yake na identity ya wanaofanya miamala(centralized system) wala wanaoimiliki, hivyo ni ngumu kutrace identification/location kwaiyo haina sifa kama mlizoaminishwa kuwa sijui freemason wataitumia na upuuzi mwingine.

Hao wanaotaka kutawala dunia hawawezi tumia mfumo unaompa uhuru mtu, bali mfumo wa kumkandamiza na kumuwekea ugumu wa kuwatoroka, tofauti na Cryptocurrency ambayo kuna uhuru wa kifedha na ngumu kuwa katka control ya mtu kivyovyote vile labda ufanye uzembe mwenyewe.

Tatu, hiyo alama ya triangle inayoonesha jicho katikat wala haihusiani na hao mashetan sijui freemason mnaoaminishana vijiweni, bali ni alama ilishakuwepo kitambo hata kabla ya hao wahuni secret societies,

Hiyo alama ilitumika kama mfano wa watu walio na maarifa ama walioangaziwa maarifa kiakili au kiroho na maarifa yenyewe yanaweza kuwa mafunzo ya utabibu, ualimu, ufahamu wa masuala ya kitechnolojia na elimu ya anga+nyota, ndiomaana hata babu zetu waliitumia katika ujenzi wa pyramids na majengo mengine mengi,
Hivyo acheni kuharibu maana ya mambo kwa kuhusisha na upuuzi wa vikundi vya watu wachache wanaojipa umiliki wa vitu visivyowahusu, kama waliharibu maana ya upinde wa mvua wasingeshindwa kuharibu maana ya jambo linalohusu muamko wa maarifa kwa kuliita ushetan ili kuwafanya watu waliogope na walikatae.

Amkeni jamani
 
Haijalishi ni illuminant au vibwengo ila kuna kundi la watu wanachotaka sisi tunafuata bila ya shuruti . Rahisi zaidi walileta mifumo ya pesa na bank kitu ambacho tumefungwa hatuna cha kufanya.

Mifumo ya pesa imeleta mambo kama; mfumuko wa bei ,umaskini ,utegemezi ,mambo ya mikopo.

Yule Adolf Hitler moja ya sababu ya kuwachukia hao jamaa ni mfumo wa pesa ambao uliyumbisha uchumi ya nchi yake .
Mababu upo kijiwe gani cha draft?
 
Kama kuna mwingine tofauti na mleta mada aliyeona kutajwa kwa Cryptocurrency kwenye hiyo habari ya BBC atujuze tafadhali.
 
Back
Top Bottom