the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Logic yako ni dhaifu sana, kwani ukioza si wadudu wanakukula...je unakuwa hauhisi maumivu? Inabidi tuchomwe tu...maeneo ya kuzikiia yanaisha sasaKwakweli mimi swala la kunichoma na moto silitaki kama wamenichoka sana bora wanitupe tu kuliko kunichoma na moto...
What if mtu akifa anakuwa anasense maumivu (maana hakuna mtu aliyewahi kurudi kutoka kifo akwatwambia ukifa unakuwaje)
Mimi kunichoma hapa aiseh tutamaindiana na mtu nikifa akatoa wazo la kunichoma
Mimi nachagua cremation, kisha jivu langu walipukutishe tu hewani, nahisi nafsi yangu otakuwa huru zaidi napunga hata hewa. Kitendo cha kufukiwa chini peke yangu kisha naachwa hapo siwezi toka inaniba hisia mbaya, nahisi nitalia sana nikiomba msaada nitolewe ila hamna wa kunisaidia. Ni upweke wa milele.Ungependelea Mwili wako upitie hali ipi siku ya kifo chako, Udongoni au kwenye moto mkali
Nimekuwa na huu mjadala na baadhi ya marafiki wangu wa karibu kwani tupo katika Mazingira ya hospitali na tunaona watu wakija kuchukua miili ya wapendwa wao kwa ajili ya mazishi
Ila kwa sasa Mazishi yameanza kuwa ya gharama kubwa na pesa nyingi zinatumika katika Procedure nzima ya burial ( Kama umeona mazishi ya siku hizi)
Baada ya kuona haya ilifika mahali tukahoji swala la Cremation,... Je ni kosa au vibaya kumchoma mtu mpaka kuwa jivu (disposing corpses by burning them to Ashes)
Cremation kwa kuangalia inapunguza unnecessary costs za msiba ukizingatia wengi sasa wamefanya mazishi kuwa njia ya kipato.
Je kisheria mtu ana haki ya kuchagua cremation kama njia ya burial ikitokea amefariki?!
Baada ya cremation wahusika wa marehemu uchukua jivu(ashes of the deceased); Wengine urushia lile jivu baharini, wengine utafuta chungu(pot or urn) na kuweka hii jivu kama njia ya kumbukumbu
Wengi wanaoachagua cremation over burial ni wale ambao wanachukia ile fact ya kuoza kwa mwili.
Labda Nijue kwa Wengine kama Swala la Cremation ni swala sahihi na je wewe ungependa mwili wako upitie huduma gani ukifa?!
Kabisa ni maamuzi yako ata ukitaka baadhi ya viungo vyako vitoleweMimi nachagua cremation, kisha jivu langu walipukutishe tu hewani, nahisi nafsi yangu otakuwa huru zaidi napunga hata hewa. Kitendo cha kufukiwa chini peke yangu kisha naachwa hapo siwezi toka inaniba hisia mbaya, nahisi nitalia sana nikiomba msaada nitolewe ila hamna wa kunisaidia. Ni upweke wa milele.
Cremation kwa tanzania ikatokea mtu kachagua inawezekana?
Mkuu ukichomwa ndio unarudi mavumbini maana utakua vumbi tupu😀Nao mwili utarudi mavumbini.
Mimi nizikwe udongon, niliwe namchwa,nioze oze, nibakie vimfipa.
Pia ndugu au jamaa zako wakiuona huo mti wanakua kama wamekuona weweNi wazi kabisa kuwa misiba ya kimagharibi ni gharama mno na inapoteza sana rasilimali,mara mbao sijui vyuma sijui zege yaani ujinga ujinga tu.Mimi nikifa bora tu nichomwe moto,kwanza inasaidia kuokoa maeneo,wenyewe mnaona sikuizi jinsi viwanja vya makaburi vinavyojaa.
Ila kuna wanasayansi wa Italia wamegundua mbinu nyingine ya kuzika maiti,unazikwa kwenye kitu chenye umbo la yai ukiwa umewekwa position ya mtoto kwenye tumbo la uzazi,halafu hapo juu unapandwa mti.hiko chombo kimetengenezwa kwa material ambazo zinaoza haraka.Kwa njia hii naona ntakua naendelea kuishi nikiwa kama mti,sababu mti utakula virutubisho vinavyo tokana na kuoza kwa mwili.
Hii itapendeza sana,kwani sasa makaburini kutageuka msituni na kusababisha utengenezwaji wa mvua.
Kwa undani zaidi soma Biodegradable burial pod turns your body into a tree - CNNView attachment 806217
Ungependelea Mwili wako upitie hali ipi siku ya kifo chako, Udongoni au kwenye moto mkali
Nimekuwa na huu mjadala na baadhi ya marafiki wangu wa karibu kwani tupo katika Mazingira ya hospitali na tunaona watu wakija kuchukua miili ya wapendwa wao kwa ajili ya mazishi
Ila kwa sasa Mazishi yameanza kuwa ya gharama kubwa na pesa nyingi zinatumika katika Procedure nzima ya burial ( Kama umeona mazishi ya siku hizi)
Baada ya kuona haya ilifika mahali tukahoji swala la Cremation,... Je ni kosa au vibaya kumchoma mtu mpaka kuwa jivu (disposing corpses by burning them to Ashes)
Cremation kwa kuangalia inapunguza unnecessary costs za msiba ukizingatia wengi sasa wamefanya mazishi kuwa njia ya kipato.
Je kisheria mtu ana haki ya kuchagua cremation kama njia ya burial ikitokea amefariki?!
Baada ya cremation wahusika wa marehemu uchukua jivu(ashes of the deceased); Wengine urushia lile jivu baharini, wengine utafuta chungu(pot or urn) na kuweka hii jivu kama njia ya kumbukumbu
Wengi wanaoachagua cremation over burial ni wale ambao wanachukia ile fact ya kuoza kwa mwili.
Labda Nijue kwa Wengine kama Swala la Cremation ni swala sahihi na je wewe ungependa mwili wako upitie huduma gani ukifa?!
Mkuu Hili Pia Nilitaka Kulizungumzia
Kuliko kuacha Macho yaoze, Figo zioze, Mapafu yaoze mbona watu wasingekubali kwamba viungo ivi vitolewe sadaka kwa waliohitaji
Lakini kama unavyosema 'IMANI' zimetufunga pia tunaamini kwenye kuzikwa na kuoza na kila kitu
Wazo zuri sana Mkuu
Kwa wale wasiojua cremation ninini ......ni kuchoma moto mwili wa mfu kulingana na tamaduni husika
Binafsi naipenda kwakuwa tunaipunguzia ardhi kuilisha uozo na uvundo laana na mabalaa
Unailinda ardhi ikusaidie nini ikiwa utakuwa umekufaMimi binafsi nafikiri ni njia nzuri yakuyalinda mazingira,...
Cremation ni njia nzuri sana na inaokoa gharama na kupunguza matumizi mabaya ya ardhi
Hiyo kiroho, kisayansi bora kuzika ardhiniKwa wale wasiojua cremation ninini ......ni kuchoma moto mwili wa mfu kulingana na tamaduni husika
Binafsi naipenda kwakuwa tunaipunguzia ardhi kuilisha uozo na uvundo laana na mabalaa