Je course gani bora kwa kombi ya CBG

manlaw

Member
Apr 20, 2017
53
18
Wakubwa me natarajia kumaliza mtihan Wang wa kidato cha sita nimechukua CBG lakini nipo njia panda je course ipi nibora yan ajira nilahisi natukiangalia kwa upande mwingine naweza kuanzisha mradi Wang mwenyewe .me kama mdogo wenu naomba msaada mzuri
 
Bachelor of science in aquacultule..... SUA
Bachelor of science in forestry...........SUA
Bachelor of science in animal science.SUA
 
Jaribuni kumwelewa jamani yeye anataka hata asipoajiriwa basi ajiajiri mwenyewe. Mi nadhani tuangalie faculty ambazo zina mwanya wa kujiajili.
 
Wakubwa me natarajia kumaliza mtihan Wang wa kidato cha sita nimechukua CBG lakini nipo njia panda je course ipi nibora yan ajira nilahisi natukiangalia kwa upande mwingine naweza kuanzisha mradi Wang mwenyewe .me kama mdogo wenu naomba msaada mzuri
Phamacy
 
Punguza papara, fanya kwanza mtihani wako vizuri, ufaulu vizuri ndio uje kuomba ushauri ukiwa na maksi zako kibindoni, sahiz hatuwezi kukushauri chochote. uje hapa utwambie una div. ngapi na kozi ipi itafaa kwa ufaulu uliopata. mtihani mwema.
 
Back
Top Bottom