Je, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) bado inazo sifa zile za kipindi kile?

curie

JF-Expert Member
Oct 25, 2020
664
1,489
UDSM ilikuwa haitoki kwenye orodha ya vyuo Vikuu 5 bora Afrika, ilikuwa inatoa Wakuu wa Nchi, Maspika wa Bunge, Majaji, Wanazuoni na Waandishi bora wa Mataifa ya Afrika.

Je, bado iko vile vile?
Tupe maoni yako

IMG_20240314_201332.jpg

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
UDSM ilikuwa haitoki kwenye orodha ya vyuo Vikuu 5 bora Afrika, ilikuwa inatoa Wakuu wa Nchi, Maspika wa Bunge, Majaji, Wanazuoni na Waandishi bora wa Mataifa ya Afrika.

Je bado iko vile vile ?
Tupe maoni yakoView attachment 2934480

Kwa hii mandhari ilikuwa nzuri sana. Naweza kusema huenda kilijengwa na Wazungu
 
UDSM ilikuwa haitoki kwenye orodha ya vyuo Vikuu 5 bora Afrika, ilikuwa inatoa Wakuu wa Nchi, Maspika wa Bunge, Majaji, Wanazuoni na Waandishi bora wa Mataifa ya Afrika...
Kabisaa,

Sifa, ubora na viwango vyake vya manthari na kitaaluma ni vile vile vya juu sana Tanzania , Africa Masharika, Africa na Duniani kwa ujumla 🐒
 
UDSM ilikuwa haitoki kwenye orodha ya vyuo Vikuu 5 bora Afrika, ilikuwa inatoa Wakuu wa Nchi, Maspika wa Bunge, Majaji, Wanazuoni na Waandishi bora wa Mataifa ya Afrika...
Enzi hizo illitoa wanasiasa wa bla bla wa degree za arts zilikuwa enxi za degree za arts sasa hivi UDSM inawaka kimataifa vitengo vya science hasa vya Engineering ni moto wa kuotea mbali

Wawekezaji wengi huwataka wasomi wa Engineering toka UDSM
 
Je bado kinazo sifa hizi sasa ?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
haipo sifa hata moja ya udsm kudorora 🐒

walioingia kwenye siasa wengi wanadeal na kujikita kwenye masuala ya kitaalamu zaidi utaona huko BoT, mawizarani, na kwenye mataasisi ya umma ni maprof. na ukicheki ni kutoka udsm.....

Dr.tulia aksoni nadhani ni miongoni mwa Marais wanaotazamiwa kutoka udsm achilia mbali akina adv. masaju 🐒
 
Enzi hizo illitoa wanasiasa wa bla bla wa degree za arts zilikuwa enxi za degree za arts sasa hivi UDSM inawaka kimataifa vitengo vya science hasa vya Engineering ni moto wa kuotea mbali

Wawekezaji wengi huwataka wasomi wa Engineering toka UDSM
Mbona inashika nafasi ya 36 barani Afrika wakati Nairobi imeshika nafasi ya 6 na Makerere nafasi ya 16 kwa Uni ranking Jan 2024.
 
haipo sifa hata moja ya udsm kudorora 🐒

walioingia kwenye siasa wengi wanadeal na kujikita kwenye masuala ya kitaalamu zaidi utaona huko BoT, mawizarani, na kwenye mataasisi ya umma ni maprof. na ukicheki ni kutoka udsm.....

Dr.tulia aksoni nadhani ni miongoni mwa Marais wanaotazamiwa kutoka udsm achilia mbali akina adv. masaju 🐒
Jilinganishe kimataifa nafasi ya UDSM kimataifa ipoje? ni sawa na vyuo vingine vikuu vya rika lake kama Makerere, Nairobi University, University of Ghana, Ibadan University n.k

Acha kufanya siasa kwenye elimu wewe
 
UDSM bado ni ya moto. Vipanga tu ndo huenda hapo. Ni ndoto ya kila mtanzania mwenye akili timamu kwenda kusoma UDSM. Cha muhimu waboreshe miundombinu ikiwemo vifaa vya kufundishia hasa kule COET. Pia waboreshe maslahi ya waalimu. Ninakereka sana kuona watu waliopiga GPA kali ila wana njaa. Serikali iongeze mishahara kwa waalimu wote wa UDSM.
 
UDSM ilikuwa haitoki kwenye orodha ya vyuo Vikuu 5 bora Afrika, ilikuwa inatoa Wakuu wa Nchi, Maspika wa Bunge, Majaji, Wanazuoni na Waandishi bora wa Mataifa ya Afrika.

Je bado iko vile vile ?
Tupe maoni yakoView attachment 2934480

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Baada ya hayati Prof. Luhanga, UDSM imekosa uongozi wenye vision. Waliofuata nawaona kama administrators wa kawaida sana. Ilikuwa afadhali kiasi wakati wa Mukandala. Kazi ya kuwa CEO iombwe na wenye sifa na wafanyiwe interview. Nguli Ulimwengu anasema imekuwa kama shule ys sekondari tu.
 
Back
Top Bottom