Je? Chadema mko tayari kurudi CCM kama haya yatafanyika?

CCM kuwatoa MAFISADI wote chamani; maana yake chama kitakuwa kimefutika kabisa; kwani hakuna kiongozi wa ccm asiyekuwa na harufu ya ufisadi.
 
Nimekuwa nikifuatilia sana malalamiko yanayotolewa na ima viongozi au wanachama hai na mfu kuhusu malalamiko mengi juu ya CCM. Sasa napenda kuuliza, iwapo kama CCM ikiwatimua mafisadi wote na ikafanya yale yote ambayo cdm mnalalamikia, je mtakuwa tayari wote kurudi CCM?

Acha research yako mbuzi hapa...kama mnataka kupretest impact ya uamuzi mliochukua andaa questioneer yako upite mitaani...hii sample size haikufai
 
  • Thanks
Reactions: LAT
wakifukuza mafisadi wote kutakuwa hakuna chama kinachoitwa ccm sababu wote wataisha nikimaanisha kuwa ccm wote ni mafisadi ukifikiri kw aundanizaidi na kiuweledi
 
Nimekuwa nikifuatilia sana malalamiko yanayotolewa na ima viongozi au wanachama hai na mfu kuhusu malalamiko mengi juu ya CCM. Sasa napenda kuuliza, iwapo kama CCM ikiwatimua mafisadi wote na ikafanya yale yote ambayo cdm mnalalamikia, je mtakuwa tayari wote kurudi CCM?
Kwa swali lako baada ya CCM kufanya hayo au kutimiza matakwa ya walalahoi baada ya kujisafisha hakuna haja ya CDM kurudi CCM.Kwani kujisafisha kwa CCM bila kuivunja CCM haiwezekani.Ninaloshauri mafisadi wote sheria ichukue mkondo wake na kwa wale safi watakaobaki wajiunge na CHADEMA au waunde chama kingine au wajiunge na vyama vingine
 
Nadhan umeanza kujua ideology za upinzani leo ishu sio ufisadi tu na kama wakitimiza tz itakuwa mahali pazuri pa kuishi
Nimekuwa nikifuatilia sana malalamiko yanayotolewa na ima viongozi au wanachama hai na mfu kuhusu malalamiko mengi juu ya CCM. Sasa napenda kuuliza, iwapo kama CCM ikiwatimua mafisadi wote na ikafanya yale yote ambayo cdm mnalalamikia, je mtakuwa tayari wote kurudi CCM?
 
kurudi ccm kufanya nini? kwani chadema ilianzishwa kwa madhumini yapi? swali lako halina maana.
 
Lengo si kuwarudisha viongozi na wanachama wengine maarufu wa chadema ccm. La hasha! lengo ni kuwa na taifa lilojengeka kwa misingi imara ya uadirifu, kuwa na viongozi wenye kujali maslahi ya taifa kuliko binafsi na kuwa viongozi wenye uchungu na taifa letu, wazalendo na wenye kupiga vita ufisadi na vitendo vingine viovu wawapo kazini. Kesho chadema wakichukua nchi, ccm nao wataitwa wapinzani, penye demokrasia ya kweli kuna upinzani pia. Hapo upo?
 
Back
Top Bottom