Utawala wa wachunga ng'ombe kwanini nyie wachunga punda siyo watawala?Sera ya Chadema hapa iwe Social Distansing kwa sababu kirusi kimeshaingia Nchini na sasa kinaambukiza
Tukifanya hivyo tutapunguza maambukizi kwa kiasi kikubwa
Huu utawala wa Wachunga Ng'ombe hauna plan yoyote na fedha walishazitumia kiholela
Tutaongea lugha moja tu siku za usoniUtawala wa wachunga ng'ombe kwanini nyie wachunga punda siyo watawala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanya uzembe wa kuishi kama jana utakufaaaa na familia yako.Sasa kama hatuwezi kuwapima hata watu wetu, inakuwaJe tunatamba kwamba maambukizi ni machache ?!
Umeona juzi watu wanagundulika na kufariki siku hiyo hiyo !!. Maanake mitaani ameacha amechakaza
Odhis *
Mtaongea wew na familia yako.Tutaongea lugha moja tu siku za usoni
Kwa uzwazwa na udwanzi wako ujue tu mpaka leo Sweden wamefariki 887.Sasa unataka na sisi tuendelee kuisha?Huwezi kupata jibu kwa sababu akili zao zimeshikiliwa na mabeberu. Hawa jamaa ni bure kabisa na ni aibu kwenye jamii yetu. Hivi wanaomba ugonjwa huu uwamalize Watanzania lakini Mungu ni mwema. Sweden hawana lock down na wanaendelea na maisha na raia wake wameaminiwa kufuata kanuni za self hygiene.
Usilete siasa kwenye hili janga samCHADEMA mlishindwa tu kuprint ilani ya uchaguzi leo mnatushauri kufanya Mass testing?
Naomba radhi mkuuUsilete siasa kwenye hili janga sam
Ndiyo maana hatuwezi kuwa nchi watuongoze kama hawawezi hata kuelewa hali halisi ya maisha ya watanzania wanaweza wakatulazimisha tuishi kama wazungu ikiwemo kuwa mashoga!Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.
Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?
Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.
Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.
Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?
Niwatakie Pasaka yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama.
Kwakweli kila siku inayopita unaendelea kua mtu wa ajabu.Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.
Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?
Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.
Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.
Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?
Niwatakie Pasaka yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama.
Mkuu...ina maana hii nchi ni maskini? Kwahiyo unataka kusema Mh.Rais anatuongopea kwa kusema hii Nchi si maskini na sisi ni MATAJIRI.Ndiyo maana hatuwezi kuwa nchi watuongoze kama hawawezi hata kuelewa hali halisi ya maisha ya watanzania wanaweza wakatulazimisha tuishi kama wazungu ikiwemo kuwa mashoga!
Mkuu unaweza leta uthibitisho?Wewe kama ufahamu chochote kaa kimya tbc wanasema grolia ajafa myangazaji wa habari za biashara wakati ..sisi ndugu zake tuko tunafanya usafi kwake na taratibu za mazishi zinaenderea ....hila serikali inaficha kuwa ajafa yuko hai wakati kafa na corona.
Kwaiyo unatakaje??Wanasubiri serikali itoe tamko ili wao wapinge. Ndio kawaida yao hiyo, wameshazoeleka.
Inaonekana huwa unakariri hotuba.za Rais badala ya kuzielewa!Mkuu...ina maana hii nchi ni maskini? Kwahiyo unataka kusema Mh.Rais anatuongopea kwa kusema hii Nchi si maskini na sisi ni MATAJIRI.
Hicho chama kimejaa VILAZAKwani taarifa sahihi mnazozijua nyie chadema ni zipi?
Na hiyo mipaka unayosema kwani kama wao wamefunga ya kwao si automatically na yetu imefungwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa kasoma CNN hilo neno mass testing lakini jinsi ya ku conduct hiyo mass testing hajui.Una vifaa vya kufanya hiyo mass testing? Je, ukishafahamu nani ana ugonjwa na nani hana utafanya nini? Hata nchi kama UK hawajaweza kufanya hiyo mass testing! Upo ulimwengu upi mkuu?
Mganga mkuu ni kigogoKwa hiyo nyie chadema mna vipimo vyenu mnapima watu na pia mna hosipital zenu ambako hao waginjwa wapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nitakaje?