Usidanganye hapa. Ridhiwani hajazungumzia mikopo ya kilimo. Hajazungumzia kuchangisha kutoka kwa wafadhili.Una macho lakini hayaoni una masikio lakini hayasikii, hivi wewe fursa zilizopo huzioni?
Isitoshe, Ridhwan kama mbunge na Mtoto wa Rais ana fursa kubwa sana ya kuchangisha wadau kumpatia matrekta, si lazima zitoke kwake mfukoni. Fikiri ikiwa chadema, wanasiasa uchwara, wanaweza kuchangisha mabilioni kwa "wafadhili" wa ndani na nje ya nchi mpaka kufikia kununuwa magari kibao, mapikipiki, helikopta. Hivi kwanini Rizwan ashindwe kuchangisha trekta 40? ni mipangilio tu.
Hizo trakta alikwambia zinatolewa kwa fedha yake au bure? hizo trekta 40 anahakikisha anafanya mipango ili zipatikane, kuna mikopo ya kilimo kwanza au hujui hilo? kuna funds kibao zinangoja wenye kuziona na kujuwa kutumia fursa.
Ndiyo maana nakwambia mtu kama wewe huwezi ziona fursa za halali zilizojazana Tanzania, mpaka waje Wachina, Wahindi, Wakenya na wengineo kujichukulia bureeee, wewe umeshafikia kiwango chako cha muono - huoni mbali, kwa hiyo umeshafikiri na imeshakujaa kichwani mwako kuwa huwezi fanikiwa mpaka uwe "criminal", huko ni kuishiwa na mawazo.
Nimekujulisha huko juu fursa za fund ya Uingereza, kajichotee, kuna 30 million pounds zilizotoka ni less than 1M pounds so far zilizopata wenye kujuwa fursa zilipo, ukiyahesabu hayo ni mabilioni ya Tanzania yanatafuta wenye kujuwa kuzitumia fursa.
Ewe punguani, kama unataka nikuoneshe ziko wapi, inabidi uje kwa heshima na adabu?
Alitoa ahadi kwa kujiamini kuwa anao uwezo wa kutoa trekta 40 kwa wakulima wa vijiji vya Chalinze. Huwezi kutoa ahadi hewa ukitegemea michango ya wafadhili. Atuambie tu hizi ni hela za yale madawa ya kulevya yaliyomwezesha kutajirika kimjini mjini. Usidanganye watu na fursa.