Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,502
- 6,403
CCM ni chama chenye wanachama wengi hapa nchini kushinda vyama vingine vyote vya kisiasa pia CCM hapo awali kilituaminisha wananchi na wanachama kwa ujumla kuwa viongozi kutoka CCM hupikwa kwa ustadi mkubwa wakitokea huko Uvccm
Siku za hivi karibuni hasa utawala huu wa JPM imeshuhudiwa wapinzani kutoka vyama vingine wakipewa nafasi za uteuzi na CCM wanawashawishi na hata kwa kuwanunua zaidi tu wapate watu watakao fit tokea upinzani
Je vyama pinzani vinawapika na kuwa na viongozi bora hapa nchini kuliko chama Ccm?
kwa uteuzi alioufanya mheshimiwa rais ni wazi Ccm haiko sawa na inauhaba wa rasilimali watu, teuzi ya jana imetawaliwa na watu kutoka upinzani kwa kiwangu kikubwa..Katambi, machali, kafulila na wengineo
waitala jiandae kwa teuzi pia kwani huko ulikokimbilia hakuna viongozi wa kukuzidi