Je, CCM imeishiwa viongozi wanaostahili hizi teuzi za DC, RC, DAS ect?

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,468
6,354
CCM ni chama chenye wanachama wengi hapa nchini kushinda vyama vingine vyote vya kisiasa pia CCM hapo awali kilituaminisha wananchi na wanachama kwa ujumla kuwa viongozi kutoka CCM hupikwa kwa ustadi mkubwa wakitokea huko Uvccm

Siku za hivi karibuni hasa utawala huu wa JPM imeshuhudiwa wapinzani kutoka vyama vingine wakipewa nafasi za uteuzi na CCM wanawashawishi na hata kwa kuwanunua zaidi tu wapate watu watakao fit tokea upinzani

Je vyama pinzani vinawapika na kuwa na viongozi bora hapa nchini kuliko chama Ccm?
kwa uteuzi alioufanya mheshimiwa rais ni wazi Ccm haiko sawa na inauhaba wa rasilimali watu, teuzi ya jana imetawaliwa na watu kutoka upinzani kwa kiwangu kikubwa..Katambi, machali, kafulila na wengineo

waitala jiandae kwa teuzi pia kwani huko ulikokimbilia hakuna viongozi wa kukuzidi
 
Anachofanya huyo Jiwe ni kufanya uteuzi kwa lengo la kutaka kuua upinzani.........

Jaribu kuona hata teuzi zake utagundua kuwa qualification no 1 ni kuangalia watu watakaoweza pambana na wapinzani, hebu jaribu kuangalia uteuzi wa DC wa Arumeru, Jery Muro, amejiridhisha kuwa huyo kwa njia haramu au halali ndiyo mwenye uwezo wa kupambana na upinzani............

Vile vile kumekuwa na madai ya siku nyingi ya wapinzani kuwa uhamaji wa wapinzani kwenda CCM huwa unaambatana na rushwa

Ukweli umejidhihiri Jana kwa kuwateua Kafulila kuwa RAS wa mkoa wa Songwe, Moses Machali kuwa DC wa Nanyumbu na Petrobas Katambi kuwa DC mpya wa Dodoma mjini

Hivi anataka kutuambia huyo Magufuli kuwa katika wale wanaccm kindaki ndaki walioko kwenye "waiting list" hakuna mwenye uwezo wa kuwa DC au RAS zaidi ya hao akina Petrobas, Kafulila au Moses Machali??

Lakini namuhakikishia huyo Jiwe kuwa staili anayotumia, hataweza kamwe kuua upinzani, zaidi sana ndiyo atauumarisha

Kwani anachofanya huyo Magufuli ni sawasawa na mtu anayekikimbiza kivuli chake, kamwe hawezi kuki-catch......

Kwani sasa wanaccm na wapinzani, wote wana malalamiko, kwa wanaccm ni kuwa iweje huyo Mwenyekiti ateue "wegeni" toka upinzani tena kwenye nafasi hizo kubwa za uDC na uRAS??

Na kwa upinzani ni kuwa madai yao ya siku nyingi kuwa CCM wanatoa "rushwa" ya vyeo kwa wapinzani, itakuwa imejidhirisha!
 
Last edited:
Teuzi zilikuwa zaidi ya 40 nashangaa unaandika watu wanne alafu unasema wapinzani walitawala Teuzi

Nyumbu umevurugwa
 
Na washamjulia kwamba unahama halafu unapewa cheo, acha awateue wakabanane ndani ndani, ila inaonyesha polepole ni mtongozaji mzuri sana, maana kwa ubabe wa waitara kutongozwa na polepole dah, sijui alianza kwa kumnunulia soda!?
 
Inanikumbusha wakati unataka kukamata kuku kwaajili ya ugeni wa ghafla kwa kitoweo na wakati huo kuku wote wako nje kwa kutafuta malisho, unacho kifanya ni kuchukua punje za mchele/mtama au mahindi na kuwarushia huku wewe ukifanya timing ya kukamata kuku unaye mtaka kwa wakati huo.😀😀😀😀😀
 
Kuna chadema au chama kingine aliyeteuliwa? Hao unaowataja ni CCM tayari walishahama huko kwenye vyama vya wabishi
 
Lakini rais alishasema anataka kutengeneza serikal ya vijana maana anaamini vijana wananguvu na ni wachapa kazi au mmesahau.?
 
Anachofanya huyo Jiwe ni kufanya uteuzi kwa lengo la kutaka kuua upinzani.........

Jaribu kuona hata teuzi zake utagundua kuwa qualification no 1 ni kuangalia watu watakaoweza pambana na wapinzani, hebu jaribu kuangalia uteuzi wa DC wa Arumeru, Jery Muro, amejiridhisha kuwa huyo kwa njia haramu au halali ndiyo mwenye uwezo wa kupambana na upinzani............

Vile vile kumekuwa na madai ya siku nyingi ya wapinzani kuwa uhamaji wa wapinzani kwenda CCM huwa unaambatana na rushwa

Ukweli umejidhihiri Jana kwa kuwateua Kafulila kuwa RAS wa mkoa wa Songwe, Moses Machali kuwa DC wa Nanyumbu na Petrobas Katambi kuwa DC mpya wa Dodoma mjini

Hivi anataka kutuambia huyo Magufuli kuwa katika wale wanaccm kindaki ndaki walioko kwenye "waiting list" hakuna mwenye uwezo wa kuwa DC au RAS zaidi ya hao akina Petrobas, Kafulila au Moses Machali??

Lakini namuhakikishia huyo Jiwe kuwa staili anayotumia, hataweza kamwe kuua upinzani, zaidi sana ndiyo atauumarisha

Kwani anachofanya huyo Magufuli ni sawasawa na mtu anayekikimbiza kivuli chake, kamwe hawezi kuki-catch......

Kwani sasa wanaccm na wapinzani, wote wana malalamiko, kwa wanaccm ni kuwa iweje huyo Mwenyekiti ateue "wegeni" toka upinzani tena kwenye nafasi hizo kubwa za uDC na uRAS??

Na kwa upinzani ni kuwa madai yao ya siku nyingi kuwa CCM wanatoa "rushwa" ya vyeo kwa wapinzani, itakuwa imejidhirisha!
Upinzani hautakufa ila cdm itakufa.
 
Nafikiri mnakosa hoja za mcng.Jana kumefanyika uteuzi wa zaid ya nafas 30.Kwa idadi hiyo,ni wangap wageni wameingizwa na wangapi wenyeji wameachwa?Hakuna nafasi hata moja waliyopata Hao wateule na sio makada wa ccm.Kukujua hao wengine kuwa ni makada wa ccm hakuhalalishi hoja ya kwanini kawachagua akina katambi.Nyinyi kwenu makada wa ccm ni wale mnaowajua tu,kitu ambacho sio kweli.Kujua walioteuliwa ni makada wa ccm na sio kweli kwamba ccm inajali wageni na kuacha wenyeji ktk hiyo list ya wateuliwa kafuatilie historical background zao then urudi.

Kinachofanyika ni kuendelea kuua upinzani,Watu wakiona akina katambi wamekula shavu nao lzm wahamasike tu.So ktk teuz za watu 40+ ndo unakuta wanapachika wageni watatu au wanne.Hii ni siasa ya kawaida sana.Kungekua Hakuna maana na isingekua sio siasa kama ktk kikosi chote cha jana wasingeingiza wachezaji walio wasajili.Hizi za kusema ccm inajali wageni kuliko wenyeji ni propaganda za kijinga tu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom