Unataka kusema jeshi lipo upande wa Abdul, upande wa Angela Kiziga, upande wa watoto wa Mombo wanao onyesha dola laki tanu nje nje, upande wa Rostam, upande wa mtoto wa Karim Alibhai shoppers, upande wa Harbinder Singh.
Watu wanaoikamua nchi wakati wanajeshi tunao mtaani?
Sawa, wewe endelea kula bata na mtoto wa Kizigha jeshi liko upande wenu linawalinda.