Je, CAG Prof. Assad kukagua manunuzi ya ndege za Rais Magufuli July 2017?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,246
103,949
Wakuu
Kwa kuwa manunuzi ya ndege yalifanyika katika mwaka wa fedha 2016/2017

Kwa kuwa CAG hukaguzi hesabu za serikali baada ya mwaka wa fedha kuisha,yaani ukaguzi wa hesabu za 2016/2017 utafanyika baada ya mwaka kuisha

Kwa kuwa manunuzi ya ndege yamekuwa na kelele na kuonyesha public interest ya kuwapa walipa kodi assurance ya mambo yaliyojiri

Kwa kuwa manunuzi ya ndege yana dalili za ukiukwaji wa sheria za manunuzi na technical issues

Hivyo basi ni wazi CAG atafanya na kulazimika kufanya ukaguzi wa kina July 2017 baada ya mwaka wa serikali kuisha. Tutamtaka CAG awe jasiri na huku kwa mujibu wa katiba kuanika kila kitu mema na mabaya juu ya ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano
 
Mkuu
OKW BOBAN SUNZU

CAG Prof. Musa Asad ni jasiri sana, atakagua na kusema kila kitu ikiwamo ununuzi wa ndege mitumba mipya!.

Huyu jamaa namfahamu na ninamuaminia sana tuu kwenye ukaguzi.

Paskali

https://www.google.com/url?sa=t&sou...GJfcC5S_Qk-hE0s4w&sig2=-3dgXJDjGWqM2Ii3PcIehQ

https://www.google.com/url?sa=t&sou...FotddV933fMvLaTdg&sig2=EvSk-xodMGFZRgQ6vbeAIw
 
Halafu CAG akisema kuna ukiukwaji au ufisadi then nini kitafanyika? watanzania tuko keen na kusikiliza habari za kuongea, kujadili na kujipa faraja.....hakuna anayewaza habari ya kuitoa CCM
 
Sidhani kama kuna haja ya kumkumbusha Majukumu yake ambayo msomi kama yule anaelewa anachokifanya na kila kitu kitawekwa mezani.
 
Halafu CAG akisema kuna ukiukwaji au ufisadi then nini kitafanyika? watanzania tuko keen na kusikiliza habari za kuongea, kujadili na kujipa faraja.....hakuna anayewaza habari ya kuitoa CCM
Uitoe CCM halafu uweke Chama gani sasa hilo ndo tatizo tulilonalo, yaani uitoe CCM uiweke CDM mnatania nyie
 
Tafadhali, kwa heshima na taadhima namuomba Asad asiguse pande hizo manake hakuna shaka japo chembe ya mapungufu achilia mbali ufisadi!!

Pale Ikulu kuna Johnie Unregulated Procurement Authority aka JUPA....

Ni hii JUPA ndiyo imesimamia ununuzi wa ndege hizi... nasi tunaiamini kwavile kila idara kuu ya JUPA inaongozwa na the only human angel under the sun!!

CEO, Chief Finance Officer na Chief Approval Officer For Unapproved Goods ni yeye...

Chief Cashier, Bulky Cash Manager ni yeye huyo huyo....

Tunamuamini na ndio maana JUPA wala haina vitabu vya hundi yaani cheque books!!!

Chief Cashier akijisikia, atabeba minoti kwenye bahasha na kupeleka kule aonako kunafaa!!

Ndo vile tu nchi za wenzetu huwezi kutembea na maburungutu vinginevyo sina shaka Bulk Cash Manager ange-approve zigo la minoti kwenda kununua ndege!!!

Huyo Asad hana mandate ya kumkagua Our Dearest Super Chief kwahiyo tunaomba umbeya wenu pelekeni kwingine!!
 
Wakuu
Kwa kuwa manunuzi ya ndege yalifanyika katika mwaka wa fedha 2016/2017

Kwa kuwa CAG hukaguzi hesabu za serikali baada ya mwaka wa fedha kuisha,yaani ukaguzi wa hesabu za 2016/2017 utafanyika baada ya mwaka kuisha

Kwa kuwa manunuzi ya ndege yamekuwa na kelele na kuonyesha public interest ya kuwapa walipa kodi assurance ya mambo yaliyojiri

Kwa kuwa manunuzi ya ndege yana dalili za ukiukwaji wa sheria za manunuzi na technical issues

Hivyo basi ni wazi CAG atafanya na kulazimika kufanya ukaguzi wa kina July 2017 baada ya mwaka wa serikali kuisha. Tutamtaka CAG awe jasiri na huku kwa mujibu wa katiba kuanika kila kitu mema na mabaya juu ya ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano
Tatizo chadema humu jf wamejaa wakurupukaji,viherehere wagumu kuelewa wanaojifanya hamnazo. Ukaguzi umejieleza kabisa ni kwa hesabu zilizoishia Juni 30, 2016. Hivyo ni bajeti ya 2015/2016. Haya nenda kafuatilie ndege zimenunuliwa lini wewe mwnye kutaka kujua bei na manunuzi pia uangalie na sheria ya manunuzi na marekebisho yake.
 
Wakuu
Kwa kuwa manunuzi ya ndege yalifanyika katika mwaka wa fedha 2016/2017

Kwa kuwa CAG hukaguzi hesabu za serikali baada ya mwaka wa fedha kuisha,yaani ukaguzi wa hesabu za 2016/2017 utafanyika baada ya mwaka kuisha

Kwa kuwa manunuzi ya ndege yamekuwa na kelele na kuonyesha public interest ya kuwapa walipa kodi assurance ya mambo yaliyojiri

Kwa kuwa manunuzi ya ndege yana dalili za ukiukwaji wa sheria za manunuzi na technical issues

Hivyo basi ni wazi CAG atafanya na kulazimika kufanya ukaguzi wa kina July 2017 baada ya mwaka wa serikali kuisha. Tutamtaka CAG awe jasiri na huku kwa mujibu wa katiba kuanika kila kitu mema na mabaya juu ya ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano
Mkuu hili haliwwzekani ndoto za mchana
 
Kwa nijuavyo ikulu haikaguliwi
Na na pia kwan kununia ndege dhambi? Ni kwa maslai ya umma tu
IKULU HAIKAGULIWI?Halafu haya maneno,"ana nia njema",Ni kwa maslahi ya umma"tuyatumie vizuri.hakuna anaepinga ndege kununuliwa ila zisinunuliwe kwa kukurupuka mwisho wa siku unanunua ndege halafu ndio unaandaa mpango wa biashara?wakati ndege ni moja ya vigezo vya kuzingatia wakati wa kuandaa mpango wa biashara.tunazo kumbukumbu za maamuzi ya kukurupuka,kuna kituo cha mafuta kilivunjwa kupisha barabara serikali ikalipa fidia,tulikamata meli ya samaki mwisho wa siku tukalipa fidia,tulinunua mv nini sijui isafirishe abiria na mizigo mwisho wa siku imegeuka mzinga wa jeshi,SUKARI tulikuwa tunanunua mpaka 1500/=sh maamuzi ya kukurupuka sasa hivi hadi 2600.
 
Wakuu
Kwa kuwa manunuzi ya ndege yalifanyika katika mwaka wa fedha 2016/2017

Kwa kuwa CAG hukaguzi hesabu za serikali baada ya mwaka wa fedha kuisha,yaani ukaguzi wa hesabu za 2016/2017 utafanyika baada ya mwaka kuisha

Kwa kuwa manunuzi ya ndege yamekuwa na kelele na kuonyesha public interest ya kuwapa walipa kodi assurance ya mambo yaliyojiri

Kwa kuwa manunuzi ya ndege yana dalili za ukiukwaji wa sheria za manunuzi na technical issues

Hivyo basi ni wazi CAG atafanya na kulazimika kufanya ukaguzi wa kina July 2017 baada ya mwaka wa serikali kuisha. Tutamtaka CAG awe jasiri na huku kwa mujibu wa katiba kuanika kila kitu mema na mabaya juu ya ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano
tujadili mambo ya msingi kwani ununuzi wa ndege unatatizo gani??
 
Afanye pia na forensic investigation kuhusu uimara na Ubora wa hizi ndege.
Maana tunasikia kwa mfano hii iliyokuja juzi ni NZITO sana!!
(sasa huko angani kungekuwa na weigh bridge hii kila siku ingepigwa faini kwa ku over load)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom