Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 529
- 909
Ipo turkeyBaada ya kusoma kwangu somo la historia ninashawishika kuamini kuwa bustani ya Eden ipo mkoani Arusha eneo la Olduvai gorge ambapo paligunduliwa fuvu la mtu wa kale duniani.
Sote tutakumbuka juu ya uvumbuzi uliofanywa na Dkt. Leakey na mkewe Mary Leakey wote hawa ni wazungu na uvumbuzi wao haujawahi kupingwa popote mpaka sasa. Kwa wao (wazungu) kuvumbua fuvu la mtu wa kale duniani kwangu mimi naona hilo ni fuvu la Adam kwani siamini kama kuna mtu wa kale zaidi ya Adam. Kutokana na kutopingwa kwa uvumbuzi wao na ukimya wa wazungu juu ya suala hilo ni dhahiri kuwa:
1. Ni kweli lile ni fuvu la mtu wa kale duniani.
2. Ni kweli lile ni fuvu la Adam.
3. Ni kweli kuwa bustani ya Eden ipo nchini Tanzania eneo.
lilipovumbuliwa fuvu la Adam.
Pamoja na maelezo katika kitabu cha Biblia juu ya Adam kufukuzwa bustanini baada ya kuasi lakini ni wazi kuwa kama bustanini ndipo Adam alipokuwa akijipatia riziki yake basi hawezi kuwa alikwenda kuishi mbali na bustani hata baada ya kufukuzwa.
Naomba tujadili ili tuupate ukweli na kuisimamisha historia ya kweli juu ya fuvu lililovumbuliwa Olduvai Gorge.
Let me school you before I go to bed. .Baada ya kusoma kwangu somo la historia ninashawishika kuamini kuwa bustani ya Eden ipo mkoani Arusha eneo la Olduvai gorge ambapo paligunduliwa fuvu la mtu wa kale duniani.
Sote tutakumbuka juu ya uvumbuzi uliofanywa na Dkt. Leakey na mkewe Mary Leakey wote hawa ni wazungu na uvumbuzi wao haujawahi kupingwa popote mpaka sasa. Kwa wao (wazungu) kuvumbua fuvu la mtu wa kale duniani kwangu mimi naona hilo ni fuvu la Adam kwani siamini kama kuna mtu wa kale zaidi ya Adam. Kutokana na kutopingwa kwa uvumbuzi wao na ukimya wa wazungu juu ya suala hilo ni dhahiri kuwa:
1. Ni kweli lile ni fuvu la mtu wa kale duniani.
2. Ni kweli lile ni fuvu la Adam.
3. Ni kweli kuwa bustani ya Eden ipo nchini Tanzania eneo.
lilipovumbuliwa fuvu la Adam.
Pamoja na maelezo katika kitabu cha Biblia juu ya Adam kufukuzwa bustanini baada ya kuasi lakini ni wazi kuwa kama bustanini ndipo Adam alipokuwa akijipatia riziki yake basi hawezi kuwa alikwenda kuishi mbali na bustani hata baada ya kufukuzwa.
Naomba tujadili ili tuupate ukweli na kuisimamisha historia ya kweli juu ya fuvu lililovumbuliwa Olduvai Gorge.
Fuvu lililogunduliwa olduvai Gorge na Dk Leakey ni la kale lakini sio kwamba ndio la kale zaidi kuliko yote duniani..Ethiopia mwaka jana kuligunduliwa fuvu la kale zaidi walilolipa jina la OMO 1..kwahiyo kwa nadharia zako tuhamishe mjadala tuseme sasa Eden ilikuwa Ethiopia maana ndipo kulipogunduliwa fuvu la kale zaid ya la Olduvai GorgeBaada ya kusoma kwangu somo la historia ninashawishika kuamini kuwa bustani ya Eden ipo mkoani Arusha eneo la Olduvai gorge ambapo paligunduliwa fuvu la mtu wa kale duniani.
Sote tutakumbuka juu ya uvumbuzi uliofanywa na Dkt. Leakey na mkewe Mary Leakey wote hawa ni wazungu na uvumbuzi wao haujawahi kupingwa popote mpaka sasa. Kwa wao (wazungu) kuvumbua fuvu la mtu wa kale duniani kwangu mimi naona hilo ni fuvu la Adam kwani siamini kama kuna mtu wa kale zaidi ya Adam. Kutokana na kutopingwa kwa uvumbuzi wao na ukimya wa wazungu juu ya suala hilo ni dhahiri kuwa:
1. Ni kweli lile ni fuvu la mtu wa kale duniani.
2. Ni kweli lile ni fuvu la Adam.
3. Ni kweli kuwa bustani ya Eden ipo nchini Tanzania eneo.
lilipovumbuliwa fuvu la Adam.
Pamoja na maelezo katika kitabu cha Biblia juu ya Adam kufukuzwa bustanini baada ya kuasi lakini ni wazi kuwa kama bustanini ndipo Adam alipokuwa akijipatia riziki yake basi hawezi kuwa alikwenda kuishi mbali na bustani hata baada ya kufukuzwa.
Naomba tujadili ili tuupate ukweli na kuisimamisha historia ya kweli juu ya fuvu lililovumbuliwa Olduvai Gorge.
Wanaosomea Theolojia huwa wanasoma nini kama inahitaji roho wa Mungu kutafsiri Biblia? Unafahamu kuwa Biblia ni mkusanyiko wa mila na desturi za jamii mbalimbali zilizoishi zama zao kwa jamii zao?Bila shaka fumbo liko kwenye kutofautisha kati ya mahali halisi(Place ) na mazingira (Enviroment) , eden ni mazingira ya uwepo wa Mungu unlike tunavyotaka kuwaza kuwa ni sehemu ambayo tunaweza kwenda kwa miguu. Na Kimsingi Biblia imejaa mafumbo matupu kwahiyo tunahitaji sana msaada wa Roho wa Mungu zaidi kuliko akili zetu kuelewa baadhi ya mambo
1Kor 2:10
Sasa walishindwa nini kusema ni la kale lakini si la kale zaidi ya yote na wakaishia tu kusema ni fuvu la kale?Fuvu lililogunduliwa olduvai Gorge na Dk Leakey ni la kale lakini sio kwamba ndio la kale zaidi kuliko yote duniani..Ethiopia mwaka jana kuligunduliwa fuvu la kale zaidi walilolipa jina la OMO 1..kwahiyo kwa nadharia zako tuhamishe mjadala tuseme sasa Eden ilikuwa Ethiopia maana ndipo kulipogunduliwa fuvu la kale zaid ya la Olduvai Gorge
Mleta mada yuko sawa ila ana makosa kulitaja hilo fuvu, hata weye uko sawa, lk jua kwamba mito ya Pishoni na gihoni ni Mto Nile ya leo! nchi ya Havila ni zimbabwe yenye dhahabu wazungu wametuficha mengi !Sasa bustani ya Eden ilizungukwa na mito mikubwa minne, ambayo haipo na haikuwepo Tanzania sasa kwa nini udhanie kuwa bustani hii ilikuwa Tanzania?
Nanukuu mito hii ilikuwa Pishoni, Gihoni, Hidekeli na Frati. Jina la kwanza ni Pishoni; ndio unaozunguka nchi yoye ya Havila, ambako kuna dhahabu ... Jina la mto wa pili ni Gihoni; ndio unaozunguka nchi yote ya Kushi. Jina la mto wa tatu ni Hidekeli; ndio unaopita mbele ya Ashuru. Na mto wa nne ni Frati. "Utambulisho halisi wa Mito ya Pishoni na Gihoni haujulikani, lakini Mito ya Hidekeli na Frati inajulikana.
Ukinionyesha mito hii Tanzania kwanza kisha tuanze mda yetu kuongea. .
Nitajie hiyo mito minne iliyozunguka Eden. Tuanze hapo Ili nikueleweshe sawa. .Mleta mada yuko sawa ila ana makosa kulitaja hilo fuvu, hata weye uko sawa, lk jua kwamba mito ya Pishoni na gihoni ni Mto Nile ya leo! nchi ya Havila ni zimbabwe yenye dhahabu wazungu wametuficha mengi !
na Biblia unayo soma leo imechezewa mnoo! Bustani ya edeni ilikuwa kuuubwa sana siyo sehemi ndogo tu km ilivo leo!
Mkuu yaani Naomba urudie kuyasoma ili twende sawa make nimeitaja kabisaaa!Nitajie hiyo mito minne iliyozunguka Eden. Tuanze hapo Ili nikueleweshe sawa. .
Yaani iko hivi Bustani ina mito minne! lkn inajulikana miwili tu! miwili mingine imefichwaa maksudi tu! ili msijitambue nyie weusi!........ nchi ya Kush ni Ethiopia ya leo!! haikuwahi tawaliwa!Let me school you before I go to bed. .
Adam na Eva hawakuwa watu wa kwanza duniani hivyo duniani kulikuwa na watu wengine wengi tu ambao Mungu aliwaumba. Adamic period (kihistoria kaisome) ni kipindi ambacho Mungu aliamua kumuumba mwanaume na mwanamke ili awatolee mfano na kupitia hawa mataifa yawajue. Sasa bustani ya Eden ilizungukwa na mito mikubwa minne, ambayo haipo na haikuwepo Tanzania sasa kwa nini udhanie kuwa bustani hii ilikuwa Tanzania?
Nanukuu mito hii ilikuwa Pishoni, Gihoni, Hidekeli na Frati. Jina la kwanza ni Pishoni; ndio unaozunguka nchi yoye ya Havila, ambako kuna dhahabu ... Jina la mto wa pili ni Gihoni; ndio unaozunguka nchi yote ya Kushi. Jina la mto wa tatu ni Hidekeli; ndio unaopita mbele ya Ashuru. Na mto wa nne ni Frati. "Utambulisho halisi wa Mito ya Pishoni na Gihoni haujulikani, lakini Mito ya Hidekeli na Frati inajulikana.
Ukinionyesha mito hii Tanzania kwanza kisha tuanze mda yetu kuongea. .
Mito Tigris na Euphrates kutokana na historia iko huko Iraq na inamwaga maji kwenda kwa bahari na Armenia.M
Mkuu yaani Naomba urudie kuyasoma ili twende sawa make nimeitaja kabisaaa!
Kwa hiyo Ethiopia peke yake haikuwah tawaliwa? Africa Kuna Liberia pia. Lakin Kuna nchi ambazo hazijawah tawaliwa kipindi hichoYaani iko hivi Bustani ina mito minne! lkn inajulikana miwili tu! miwili mingine imefichwaa maksudi tu! ili msijitambue nyie weusi!........ nchi ya Kush ni Ethiopia ya leo!! haikuwahi tawaliwa!
Yes nakubali Liberia haikuwahi tawaliwa ajili ya kurudishwa watumwa weusi lkn pia inasemekana Biashara ya utumwa ni changa la macho sababu weusi weengi asili yao ni America pia!Kwa hiyo Ethiopia peke yake haikuwah tawaliwa? Africa Kuna Liberia pia. Lakin Kuna nchi ambazo hazijawah tawaliwa kipindi hicho
Zimbabwe imetawaliawa ukumbuke