Je, Bunge live ni kwa ajili ya CCM tu?

Je, Bunge live ni kwa ajili ya CCM tu?

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,282
Reaction score
8,603
Leo nilikuwa naangalia bunge live kitu cha ajabu ambacho nimekiona ni kuwa kila mbunge wa chadema akitajwa kuongea matangazo yanazimwa

But wabunge wa CCM wakiongea matangazo yanakuwa hayana shida

Sasa nakuwa najiuliza point inakuwa ni nn sasa, au hawataki wananchi wasikie mawazo mbadala?

Naona kama hili jambo sio sawa ni jambo la Aibu
 
Halafu utasikia upinzani ukiambiwa “hautoi mawazo mbadala”!!

Kuwa chama cha upinzani si uhaini na kuwa CCM si alama ya uzalendo!!

Tukiendelea hivi tutakuwa na shida kubwa siku za mbele!!
 
Na hii ndio inapelekea hadi tunavunjika moyo wa kutoka nyumbani kwenda kupiga kura
 
Wabunge wa Chadema hawana hoja wao ni matusi tu hakuna haja ya kuwasikiliza
 
Hivi kuna watu bado wanafuatilia bunge?
Vijana wa Ufipa ndio wanaongoza kwa kuangalia TBC1, Channel Ten na kusoma magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Habari Leo. Kila kinachoandikwa au kusemwa na hivyo vyombo, haraka haraka wanakuja na nyuzi humu!
 
Leo nilikuwa naangalia bunge live kitu cha ajabu ambacho nimekiona ni kuwa kila mbunge wa chadema akitajwa kuongea matangazo yanazimwa

But wabunge wa ccm wakiongea matangazo yanakuwa hayana shida

Sasa nakuwa najiuliza point inakuwa ni nn sasa, au hawataki wananchi wasikie mawazo mbadala?

Naona kama hili jambo sio sawa ni jambo la Aibu
Hebu msikilize huyu
 
Wabunge wa Chadema hawana hoja wao ni matusi tu hakuna haja ya kuwasikiliza

Kuna tofauti ya kutowasikiliza, na kuwazuia wasisikike. Halafu katika mazingira hayo ccm wanajidanganya eti cdm imekufa!
 
Vijana wa Ufipa ndio wanaongoza kwa kuangalia TBC1, Channel Ten na kusoma magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Habari Leo. Kila kinachoandikwa au kusemwa na hivyo vyombo, haraka haraka wanakuja na nyuzi humu!

Duuu kazi ipo.
 
Shotii andunje ndugali ni spika wa hovyo kutokea tangu dunia iumbwe
 
Back
Top Bottom