Je, bunge la Tanzania ni useless?

Je, bunge la Tanzania ni useless?

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,168
Reaction score
48,681
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
 
Sure
 
Katika mihili yote 3, ni Bunge pekee yake ndio kuna wakati huaga halipo hai. Miezi 2 kutoka sasa tutakua hatuna bunge, litakua limevunjwa, lakini there will be no way Ikulu na mahakama vikakosa mtu; tafsiri yake ni kwamba, bunge lipo pale kufata katiba tu lakini hata likivunjwa hakuna effect yeyote kwa nchi, yaani liwepo au lisiwepo bado ni sawa tu
 
Umefikiria mbali sana !! 🙏
 
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Unauliza jibu
 
Kibogoyo vs halina meno

Wasamehe bure CCM wanatumia mfumo wa kujizima data, (unyumbu wa kisiasa)
 
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Unaongea utopolo gani wewe? 👇👇

View: https://x.com/bbcswahili/status/1920499542262173833?t=WsMLtm7CYYk6W1ShIfsfGQ&s=19

Bunge letu Lina deal na vibaraka na mabwana zao.
 
Leo ndiyo nimeshtuka zaidi.... Eti wabunge wanaliazimia Jeshi la Wananchi JWTZ.... Hivi imekaaje hii wadau?... Au Mimi ndo sielewi?
Wanaumwa mavi hao wamejisahau sasa subiri statement ya jesh
 
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Mikoa mingine tunalima, tunavuna na tunakula vitu pure ktoka shamba
 
Kutokana na tabia ya uchawa,na maslahi ya uchama,na ukosefu wa chaguzi huru na haki ni totaly useless
 
Unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao ruhusu wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite
 
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?

Mhimili mfu?

Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?

Bunge la kusifu na kuabudu?

Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu cha biashara watu wanashindia mihogo na maji ya mia hali ikoje huko mikoa mingine?

Wabunge wao wako Dodoma kutwa kutwa wakimsifu Rais ili majina yao yasikatwe kwenye kura za maoni.

Bunge lifutwe, wakurugenzi wa wilaya, miji na manispaa watafanya kwa ufasaha kazi za wabunge za kimaendeleo na zile za kisheria wizara ya sheria watazifanya .

Sheria gani ya kutungwa na mtu wa kusifu na kuabudu?

Sheria gani ya kutungwa na STD 7?
Tuache MASIHARA
Ni useless square
 
Yaani Bunge letu ni lavilaza watupu.yaani kwenye ripoti zote wao wameona wajadili swala la ushoga tu. Halafu hawajadadavua chochote kilicho ndani ya katiba yeti inasemaje kuhusu mashoga. Wao wanabwata tu hatutaki mashoga hatutaki mashoga wakati kuna mashoga kibao na wao wabunge wanajua mpaka vijiwe vya mashoga mbona hawawakamati kama wanaona ni laaana ,mwenzao mseveni akikamata shoga ananyonga ,hakuna bwabwa hata mmoja uganda ukitaka mwababa nenda Mombasa au Dar hiyo ndiyo miji wanapatikana mabwabwa ila jifanye vidole juu uganda utamjua M7 ni binadamu au dubu.Haki za binadamu hawazungumzii kabisa kwasababu wamenogewa na damu za watu swala la tume huru na uchaguzi ulio huru na haki hivyo vitu hawavinngelei kwasababu wanafaidika na tume hii ya michongo,Mwenyekiti watu wao,mkurugenzi wa tume wao,makamishina wa tume wao,wasimamizi wa uchaguzi wao ,kisha hawataki makala wa vyama vya upinzani kwenye vituo,hawatki wagombea wa upinzani.Huo ni uchaguzi au katuni.Vyote hivyo vipo kisheria lakini ijulikane hata ubaguzi wa Rangi ulikuwepo kisheria Afrika kusini lakoni ilikuwa sheria mbovu sana,na hizi pia ni sheria ambazo watu wenye ak,,ili hawawezi kwenda kwenye uchaguzi wa tume hii ya sasa,
.
 
Back
Top Bottom