Je, broiler grower inawafaa sasso?

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
Wadau hivi grower ya Broiler inawafaa hata vifaranga wa Sasso?Msaada jamani mnitoe ushamba

IMG_20230311_153425.jpg
IMG_20230311_153420.jpg
 
Inafaa sana mkuu, utumia kulingana na matumizi yake sahihi kama broiler.
 
Wadau hivi grower ya Broiler inawafaa hata vifaranga wa Sasso?Msaada jamani mnitoe ushamba
Haiwafai kaka, grower ni chakula cha kukuzia. kinawafaa kuku wakubwa kuanzia wiki 3 kwa (broilers) hadi 6. kwa sababu nutriotional components na ukubwa wa pellet unaleta maendeleo na ukuaji unaotakiwa kwa hao kuku wakubwa. vifaranga wanahitaji diet yao kwa sababu ya udogo wao wa kuingiza chakula mdomoni na mahitaji muhimu kwa ajili ya ukuaji wao. kwa hiyo hatuwezi kuwapa kuku wetu kila chakula kwa sbb kipo. kwa sbb chakula na muda wa ufugaji wa kuku ndio faida yenyewe katika ufugaji.
 
Back
Top Bottom