Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,746
Naweza nikasaidiwa humu kwa wajuzi, haya masuala siyafahamu kiundani ila kupitia maandiko mbalimbali, nk nimekuwa kuna watu siwaamini, nakukaa kwa umakini, kutokumuamini kila mtu, issue za usalama, upelelezi.

Hivi Bongo ZOZO ni shabiki tu na mtu mwenye mapenzi na Tanzania au kuna kitu nyuma yake? Je kuna taarifa anazitafuta au kuna mission anaifanya kwa muda mrefu na kafikia kwenye hatua ya mwisho kaja na aina hii ya kujiexpose kama mtu mwenye mapenzi na Tanzania, japo anadai alishakaa muda mrefu, why huko juma hakujulikana?

Mshana Jr Yericko Nyerere wakubwa mnaweza mkazungumza chochote kwa mtazamo wenu
 
Alikaa muda mrefu ndio akawa na hayo mapenzi na Tanzania.

Ulitaka aanze kuwa na mapenzi hayo lini na kwanini, ili roho yako itulie?!

Hiyo nia yake iliyojificha ulitakiwa uieleze ni ipi kama unaifahamu, sio hisia.

Mna jihisi sana ndio maana, mnakunywa mataptap mkiharisha, mnasema mlinyweshwa sumu.
 
Waafrika mna shida sana

Mpaka kwenye bio yenu mnatangaza sijui Manchester damu mara Liverpool forever ooh Arsenal mpaka kaburini

Wengine mpaka mnajitoa uhai walishindwa game, mnavaa jerseys zao mnaziweka kwenye magari, nyumbani, kazini, pikipiki

Ila sasa balaa linakuja hao mnaowapapatikia wakigeuzia kibao

Hata wenyewe wanashangaa mnavyowazimikia na huenda wakawa na maswali kama yako
 
Naweza nikasaidiwa humu kwa wajuzi, haya masuala siyafahamu kiundani ila kupitia maandiko mbalimbali, nk nimekuwa kuna watu siwaamini, nakukaa kwa umakini, kutokumuamini kila mtu, issue za usalama, upelelezi.

Hivi Bongo ZOZO ni shabiki tu na mtu mwenye mapenzi na Tanzania au kuna kitu nyuma yake? Je kuna taarifa anazitafuta au kuna mission anaifanya kwa muda mrefu na kafikia kwenye hatua ya mwisho kaja na aina hii ya kujiexpose kama mtu mwenye mapenzi na Tanzania, japo anadai alishakaa muda mrefu, why huko juma hakujulikana?

Ni attention seeker nadhani!

Anataka kua maarufu tu kama wengine!

Kama kuna upelelezi thats wait to be seen

Cha ajabu ni beberu ila CCM wanamkumbatia kinoma,halafu tukitoka hapo nje ccm hao hao wanasema hatupendi mabeberu!

These niggas are walking contradictions!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom