yes ofkoz why not?tutawatoka tu,
afu thread letu la barca liko wapi umu?
adi tulitafute mbaaali ebu liwekeni apo mwanzo..
Kama Barca wanataka kushinda UEFA lazima waje na Strategy ya kumfanya Pepe asicheze au atyoke kabisa nje ya mchezo
Toka mechi ya La Liga ya Bernabeu ya 1 - 1 nilijua Pepe ndio muandaliwa wa kutibua Barca......waliotulia jana wanajua Pepe amecheza kwenye akili ya Mourinho na alipewa kazi maalum kama ya Cambiasso Mourinho akiwa Inter
Kutoka au kutokutoka kwao kunategemea na namna watakavyobadilisha mbinu ya mchezo tofauti na ile ambayo Pepe amefundishwa na Mourinho kucheza kati na kutambaa na mianya ya Barca.........
Pepe amepewa kazi maalum na huyu ndie amebeba uamuzi wa mechi hii maana Guardiola sidhani kama ni mtu wa tactic hasa timu yake inapokabwa kwenye plan yake ya kawaida ya kila siku
hapo kwenye red umemaanisha nini?
tatizo madrid kuanzia nyumbani kwisha habari yake
Madrid lazima atoke..si umecheki mwenyewe jana walivyonyanyaswa.