Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Hahahaha chill kaka, ntafanya suprise next month,mwez huu umekuwa busy sana, Bashite kazogoa. sema sikuhizi uko mbali sana na yale mambo yetu ya mjini nikifika huko.hongera sana kaka, hicho kitambi nitakiona wapi kaka wakati siku hizi tunawasiliana kwa mail tu.