natoa mfano mmoja hapa wa kupima, mathalan unatumia mita za tanesco zile za EDMI
1. kwenye CUI unabonyeza 08, then italeta volts
kama siyo EDMI, basi short code itabadilika kulingana na kilochoandika kwenye manual iliyokuja na mita (Wasion, etc)
njia ya pili ni kuita fundi apime kwenye socket outlet,
iyo stabilizer niliyo attach hapo ni ya 140-260V, ndiyo naitumia kwangu, hapa nilipo umeme haushuki chini ya 149V ( at least kwa msimu huu ) so iyo stabilizer inanifaa ( kwa sasa )
kuna izi stabilizer model: Pacco, naona wana mpaka ya kuanzia 80V