Je, Automatic voltage regulator, ni inverter au la?

makkyson

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
30
Reaction score
24
Habari wana jamvi naomba kufahamu kwa mtu mwnye uwelewa na mambo ya ufundi/umeme hiv hiki kifaa ni inverter au la? Automatic voltage regulator
 
habari wana jamvi naomba kufahamu kwa mtu mwnye uwelewa na mambo ya ufundi/umeme hiv hiki kifaa ni inverter au la...? AUTOMATIC VOLTAGE REGULATOR
An automatic voltage regulator (AVR) is an electronic device that maintains a constant voltage level to electrical equipment on the same load. The AVR regulates voltage variations to deliver constant, reliable power supply

An inverter is one of the most important pieces of equipment in a solar energy system. It's a device that converts direct current (DC) electricity, which is what a solar panel generates, to alternating current (AC) electricity, which the electrical grid uses.
 
Joseverest asante but ungetumia swahili language ingekuwa nivizuri sana
 
1. automatic voltage regulator, au voltage stabilizer, ina kuza umeme ulio mdogo au kupunguza umeme ulio mkubwa,

jioni kuanzia saa 1 umeme sehemu nyingi unashuka voltage, kutoka 220V mpaka 160V au 150V, ukiweka stabilizer, itainyanyua hii 160V irudi 220V

vilevile umeme ukipanda zaidi ya 220V, stabilizer itaishusha irudi mpaka 220V, so kifaa kilichofungwa kwenye stabilizer kitakua salama dhidi ya umeme-mdogo na umeme-mkubwa

stabilizer ina transfoma (power transformer) kwa ndani ambayo ndiyo inashusha na kupandisha volts 'automatically'

2. inverter, yenyewe inabadili umeme DC kwenda umeme AC, ukiwa na betri (DC) unaweza zalisha AC kwa kutumia inverter

inverter ina hatua kuu 3:

a. kubadili DC (volt ndogo) kuwa AC ( volt ndogo )
b. kubadili AC square wave (volt ndogo) kuwa AC sine wave (volt ndogo)
c. kuikuza hii AC sine wave(volt ndogo) kuwa AC sine wave(volt kubwa) ndiyo utumike

hapo kwenye ukuzaji (kipengele c) kuna transfoma pia (power transformer)

naishia hapo
 
kwahiyo hii ni kitu automatic voltage regulator ni stabilizer....?
 
Asante sana mkuu nimekuelewa kabisa
 
Chief nimeona wewe ni msomi wa mambo ya umeme. Nina Tv Phillips kuna kipindi inasumbua hasa mida ambayo watu wanatumia sana umeme. Weekends na pia mida ya jioni na usiku.

Inajizima na kuwaka yenyewe. Nlidhani mara ya kwanza ni mbovu nikaamua kuirudisha nliponunua. Akaiwasha masaa ma 4 haikuzima hata kidogo. Ilikuwa Kinondoni. Ilikuwa vizuri na inang'aa vizuri tu kwenye screen.

Mimi nikarudi nayo Tabata Bima kuna kipindi inatulia vizuri kuna kipindi inajizima na kujiwasha yenyewe. Fundi mmoja alinambia kuna shida ya nguvu ya umeme eneo hili

LEo nimeenda nunua stabilizer aina ya Dolphin. Auto Voltage Regulator. Bado naona mida hii imeanza tena kujizima na kuwaka. Je shida inaweza kuwa nini? Though nlitumia tv kama masaa mawili na nusu hapo kabla haikujizima. Saa nne kasoro imeanza tena huo mchezo. Stabilizer nlikuta kuna brands mbili. Paco na Dolphin. Nikanunua Dolphin watts 1000.

Dolphin. Auto Voltage Regulator
kuchagua regulator/stabilizer, kuna vigezo viwili:

1. VA ( ambayo wewe umeita Watts )
2. input range

naona iyo ya pili huku pay attention nayo, 'input voltage range' iko kwenye label ya iyo stabilizer, inakua iko mtindo huu, 140-260V au 160-260V, au 120V-260V yaani minimum volt - maximum volt

kushuka kwa voltage hutofautiana eneo na eneo, unakuta ni saa 3 usiku, eneo-A line voltage ya 105V na eneo-B lina voltage ya 150V (ilihali voltage elekezi ni 220V)

sasa kama uko eneo-A alaf ukanunua stabilizer ya input range: 140-260V , na vile 105V haipo ndani ya iyo range, stabilizer haiko useful tena as haiweza nyanyua 105V kuirudisha 220V

solution hapo ni kupima voltage ndani ya mda huo ( umesema saa 4 usiku ee) , either umuite fundi apime na meter, au utumie ile CUI ya mita ya Tanesco kujua voltage, then uchukue stabilizer husika ( 80 - 300V)

westPoint.jpg
 
View attachment 2126826
Mkuu na mimi nina shida kama ya muuliza swali, ikifika usiku stablizer inakata na kuwaka yan huwa ni kero.
Naomba kujua jinsi ya kupima au nitumie kifaa gan kupima voltage ya muda huo.
Then naomba recommendation ya stabilizer yenye input range kubwa, maana naona hata hiyo uliyoweka ni 140-160
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nitumie kifaa gan kupima voltage ya muda huo.
natoa mfano mmoja hapa wa kupima, mathalan unatumia mita za tanesco zile za EDMI

1. kwenye CUI unabonyeza 08, then italeta volts

kama siyo EDMI, basi short code itabadilika kulingana na kilochoandika kwenye manual iliyokuja na mita (Wasion, etc)

njia ya pili ni kuita fundi apime kwenye socket outlet,

iyo stabilizer niliyo attach hapo ni ya 140-260V, ndiyo naitumia kwangu, hapa nilipo umeme haushuki chini ya 149V ( at least kwa msimu huu ) so iyo stabilizer inanifaa ( kwa sasa )

kuna izi stabilizer model: Pacco, naona wana mpaka ya kuanzia 80V
 
Asante mkuu nitazingatia hilo nikinunua nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamvi naomba kufahamu kwa mtu mwnye uwelewa na mambo ya ufundi/umeme hiv hiki kifaa ni inverter au la? Automatic voltage regulator
Hapana hiyo ni kama regulator tuu sema ndani kuna capaciter tuu ni vile haina sehemu ya kuongeza speed na kupunguza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
An automatic voltage regulator (AVR) is an electronic device that maintains a constant voltage level to electrical equipment on the same load. The AVR regulates voltage variations to deliver constant, reliable power supply

An inverter is one of the most important pieces of equipment in a solar energy system. It's a device that converts direct current (DC) electricity, which is what a solar panel generates, to alternating current (AC) electricity, which the electrical grid uses.
Ungemsaidia sana /zaidi kama ungemletea kwa kiswahili huenda ukamchanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. automatic voltage regulator, au voltage stabilizer, ina kuza umeme ulio mdogo au kupunguza umeme ulio mkubwa,

jioni kuanzia saa 1 umeme sehemu nyingi unashuka voltage, kutoka 220V mpaka 160V au 150V, ukiweka stabilizer, itainyanyua hii 160V irudi 220V

vilevile umeme ukipanda zaidi ya 220V, stabilizer itaishusha irudi mpaka 220V, so kifaa kilichofungwa kwenye stabilizer kitakua salama dhidi ya umeme-mdogo na umeme-mkubwa

stabilizer ina transfoma (power transformer) kwa ndani ambayo ndiyo inashusha na kupandisha volts 'automatically'

2. inverter, yenyewe inabadili umeme DC kwenda umeme AC, ukiwa na betri (DC) unaweza zalisha AC kwa kutumia inverter

inverter ina hatua kuu 3:

a. kubadili DC (volt ndogo) kuwa AC ( volt ndogo )
b. kubadili AC square wave (volt ndogo) kuwa AC sine wave (volt ndogo)
c. kuikuza hii AC sine wave(volt ndogo) kuwa AC sine wave(volt kubwa) ndiyo utumike

hapo kwenye ukuzaji (kipengele c) kuna transfoma pia (power transformer)

naishia hapo
Nakuelewa sana mdau na ahsante kwa somo zuri
Mwanafunzi wako mpe fully Kiswahili ili aelewe

"2. inverter, yenyewe inabadili umeme DC kwenda umeme AC, ukiwa na betri (DC) unaweza zalisha AC kwa kutumia inverter"

Mfano hapo kwenda AC ni kwenda umeme mnyoofu
 
Chief nimeona wewe ni msomi wa mambo ya umeme. Nina Tv Phillips kuna kipindi inasumbua hasa mida ambayo watu wanatumia sana umeme. Weekends na pia mida ya jioni na usiku.

Inajizima na kuwaka yenyewe. Nlidhani mara ya kwanza ni mbovu nikaamua kuirudisha nliponunua. Akaiwasha masaa ma 4 haikuzima hata kidogo. Ilikuwa Kinondoni. Ilikuwa vizuri na inang'aa vizuri tu kwenye screen.

Mimi nikarudi nayo Tabata Bima kuna kipindi inatulia vizuri kuna kipindi inajizima na kujiwasha yenyewe. Fundi mmoja alinambia kuna shida ya nguvu ya umeme eneo hili

LEo nimeenda nunua stabilizer aina ya Dolphin. Auto Voltage Regulator. Bado naona mida hii imeanza tena kujizima na kuwaka. Je shida inaweza kuwa nini? Though nlitumia tv kama masaa mawili na nusu hapo kabla haikujizima. Saa nne kasoro imeanza tena huo mchezo. Stabilizer nlikuta kuna brands mbili. Paco na Dolphin. Nikanunua Dolphin watts 1000.
Kwako kuna tatizo la low voltage labda tumia stabilizer kwenye tv yako.
Hiyo kuzima na kuwa kuna ndani ya circuit kuna dyde nan a.c na capaciter hazipati wats zinazotakiwa ndio maana unaona tv yako inazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na mimi nina shida kama ya muuliza swali, ikifika usiku stablizer inakata na kuwaka yan huwa ni kero.
Naomba kujua jinsi ya kupima au nitumie kifaa gan kupima voltage ya muda huo.
Then naomba recommendation ya stabilizer yenye input range kubwa, maana naona hata hiyo uliyoweka ni 140-160
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako kuna tatizo la low voltege tumia stabilizer. Angalau ya 2000w na kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom