Je, ATCL waliita watu kwenye usaili?

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
637
555
Habari wanajamvi, jamani nilikuwa naulizia kuhusiana na zile kazi nyingi walizotangaza hili shirika la ndege la Tanzania mwishoni mwa mwaka jana vipi kuna mtu aliyeitwa kwenye usahili? Maana naona wamekaa kimya sana.
 
Wanyonge sasa tutaponea wapi kama zilikuwa nawatu wao tayari, daah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom