East hakuna timu ngumu sana kulinganisha n West. Wolves wana defence kali na offense ya uhakika.
Series imekuwa nyepesi sana
Nina wasiwasi series inaweza ikaishia game 4 kwenye conference zote mbili.
We're Celtics.Ukizingatia Tyrese Huliburton kaumia na wanamtegemea Yule football wao Pascal Siakami...tunamsubiri Dallas Mavs
The wolves are not going down without a fight..Boston Celtics swept Indiana Pacers.
Another sweep coming tomorrow!
Hata mavs wana kazi ya kuwamark Tatum na Brown (the new Larry Bird)Shida walioipata timberwolves na celtics wataipata pia.
Only way ya kuwazuia mavs ni mbinu za kihuni. Yaani luka na kyrie umiza mmoja asicheze.
Ila wakiwa wote uwanjani watawatesa sana celtics mentally na physically. Maana wana basketball IQ na skills za hali ya juu sana kuliko wachezaji wote wa boston. Dawa ni kuumiza mmoja. Abaki mmoja uwanjani. Huyo mmoja anayebaki anakuwa double marked
U already knowBoston Celtics swept Indiana Pacers.
Another sweep coming tomorrow!
The wolves are not going down without a fight..
They are pulling this one back.
Wolves kitimu wapo vizuri sana.
Wanapata shida series yao na dallas sababu ya watu wawili tu ambao dallas wanao.
Luka na kyrie irving ndio best finishers kwenye ligi ya NBA na wote wapo dallas. Ball handling yao na basketball IQ ipo juu sana. Hao ndio wanawatesa wolves. Ila sio timu ya dallas mavericks.
Akitokea mmoja akaumia tu ama akapata faul trouble wolves wanavuka kwa urahisi.
Maana akiwa mmoja ni rahisi kum double mark. Ila wakiwa wote wawili uwanjani ni risk ku double mark mmoja maana utampa nafasi mwingine kufanya anachokitaka.
Maana kwenye ulinzi uki double mark maana yake umepeleka watu wawili wakamlinde mtu mmoja hivyo, umeua namba moja hivyo pengo la position yake linabaki wazi. Sasa imagine una m double mark luka halafu kyrie unamuachia njia wazii.. utalia machozi ya damu
Wameforce game 5.The wolves are not going down without a fight..
They are pulling this one back.
Wameforce game 5.
Ngoja tuone game 5 itaenda vp, wasije wakaandika history mpya hawa jamaa
Unakumbuka game 1 na game 2 ushindi wa dallas ulikua by very small difference hasa game 2 walishinda kwa 1 point difference game 1 walishinda kwa points 3. What if Wolves nao wakashinda kwa hizo hzo differences ndg michezo 2 ijayo?Wanaweza wakaandika historia japo ni ngumu sana.
Kyrie irving alikuwa na bad day leo amefunga 16 points ,, amekosa 3 points zaidi ya 10 alizojaribu . ila bado wolves wameshinda kwa tofauti ya point 5 tu.
sitaki kuamini kama bad day kwa kyrie kama leo itakuwa kwenye game zote 3 zilizobaki. na wolves na wao hawatapata bad day kwa ANT ama KAT kwenye hizo game zote 3 zilizobaki
Unakumbuka game 1 na game 2 ushindi wa dallas ulikua by very small difference hasa game 2 walishinda kwa 1 point difference game 1 walishinda kwa points 3. What if Wolves nao wakashinda kwa hizo hzo differences ndg michezo 2 ijayo?
Tusubiri game 5 friday tuone watatokaje wolves. Ant man yupo desperate sana, and nothing is dangerous like a desperate wolf.
Unakumbuka game 1 na game 2 ushindi wa dallas ulikua by very small difference hasa game 2 walishinda kwa 1 point difference game 1 walishinda kwa points 3. What if Wolves nao wakashinda kwa hizo hzo differences ndg michezo 2 ijayo?
Tusubiri game 5 friday tuone watatokaje wolves. Ant man yupo desperate sana, and nothing is dangerous like a desperate wolf.