Ranks
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,583
- 1,098
Na hawataondoka idodomya bila ya kumjadili.Nyie watu mna mpanikisha mungu wa chato bureeee
"Maji ya shingo".
Na hawataondoka idodomya bila ya kumjadili.Nyie watu mna mpanikisha mungu wa chato bureeee
CCM wenzangu mtanichukia ila nimetafiti ninavyoweza kati yetu hatuna hata theluthi moja tu ya Wanasheria / Mawakili wanaoweza kuwa na thamani aliyonayo Tundu Lissu na pengine kama hatutojali si vibaya pia tukamwomba Tundu Lissu awe anatufundishia Wanasheria / Mawakili wetu ndani ya Chama chetu cha CCM au huko Serikalini ili angalau basi Tanzania ya sasa iweze kuwa na competent Lawyers / Advocates kwani wengi wao waliopo huko naona ni goi goi na wa hovyo hovyo tupu.
Sijazoea Unafiki na naongozwa na Ukweli na Uhalisia ukinichukia poa tu!